Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hakuna mamluki au kibaraka atacheazea amani ya waTanzania,View attachment 3526751
Kesi ya kamanda inaendeleaje au imekufa kwa kuogopa watawamaduro ?

hakuna mamluki au kibaraka atacheazea amani ya waTanzania,View attachment 3526751
Kesi ya kamanda inaendeleaje au imekufa kwa kuogopa watawamaduro ?

Morocco wameshachezea ...vipi una lingine ?hakuna mamluki au kibaraka atacheazea amani ya waTanzania,![]()
hakuna haja ya kuweweseka na mambo madogodogo gentlemanMorocco wameshachezea ...vipi una lingine ?

We chawa vip kuhusu wale wakatoliki wa uvccm je walipataje kibali?hakuna mamluki au gaidi ataruhusiwa hata kwa sekunde moja tu kuandamana kilofalofa bila kufuata utaratibu eti kudai haki ya kuvuruga amani, kupora mali, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi au vinginevo nchini Tanzania.
ni vizuri kusahau kabisa hiyo nonsense.
ushindi wa Dr. Samia Suluhu Hassan kwa 97% ni ushindi wa waTanzania wote.
Ni vizuri kujivunia hilo kama Taifa,
Hiyo nonsense nyingine haitaruhuisiwa Tanzania![]()
ni vizuri kumuuliza fuska kitima kuhusu hiloWe chawa vip kuhusu wale wakatoliki wa uvccm je walipataje kibali?

Mambo madogo!! watu wanaacha Waajiri wao huko ulaya kuja kutimiza Jambo Hilo unaloliita dogo.hakuna haja ya kuweweseka na mambo madogodogo gentleman![]()
Jibu kama chawa mbobezi acha kona konani vizuri kumuuliza fuska kitima kuhusu hilo![]()
Nilitegemea utajibu hoja za Vusi Thembekwayo!Vijana walivyokuwa wajinga wakawa wanasema sasa tukamtembelee Diamond, sasa tukamtembele Shilole kote huko waliacha uharibifu na wizi.
Walitaka Tanzania iliyojengwa kwa miaka 60 ya kutoka jasho jingi itoweke tu ndani ya siku moja, wapuuzi sana wale vijana.
Walileta uhuni wakakutana na mapolisi walioanza uhuni kabla hata mama zao hawajawazaa.
Sina muda wa kumjibu kila mwenye hoja.
Kama huwezi kumjibu Vusi hakuna shidaBora yangekuwa maandamano ule ulikuwa uasi, unaweza kuita machafuko walitaka tuwe na anarchy, tusitawalike.
Mwanzoni waliachiwa waandamane na wanajeshi kule Kimara muda ulivyokwenda wakagundua hakuna maandamano bali vijana wamegeukia uhuni.
Hawakujua wale vijana kule polisi tunao wahuni wa zamani wanaojua njia na ujanja wote wa kihuni.
Bora yangekuwa maandamano ule ulikuwa uasi, unaweza kuita machafuko walitaka tuwe na anarchy, tusitawalike.
Mwanzoni waliachiwa waandamane na wanajeshi kule Kimara muda ulivyokwenda wakagundua hakuna maandamano bali vijana wamegeukia uhuni.
Hawakujua wale vijana kule polisi tunao wahuni wa zamani wanaojua njia na ujanja wote wa kihuni.
Mara 10😂!!!! Tangu aapishwe ame engage na wananchi mara 1 tu kwenye kikao na wazee wa CCM Dar. Mara 2 zingine ni jeshini Arusha na hotuba ya mwaka mpya juzi.Yaani kwa “ushindi” alioupata, angekuwa anajiachia sana na wananchi kila kona ya nchi!
Lakini tokea hiyo Oktoba 29, sidhani kama keshaonekana hadharani zaidi ya mara 10.
Imejengwa wapi?Vijana walivyokuwa wajinga wakawa wanasema sasa tukamtembelee Diamond, sasa tukamtembele Shilole kote huko waliacha uharibifu na wizi.
Walitaka Tanzania iliyojengwa kwa miaka 60 ya kutoka jasho jingi itoweke tu ndani ya siku moja, wapuuzi sana wale vijana.
Walileta uhuni wakakutana na mapolisi walioanza uhuni kabla hata mama zao hawajawazaa.
Ukifanya jinai ya aina yoyote ile tukuue?Bora yangekuwa maandamano ule ulikuwa uasi, unaweza kuita machafuko walitaka tuwe na anarchy, tusitawalike.
Mwanzoni waliachiwa waandamane na wanajeshi kule Kimara muda ulivyokwenda wakagundua hakuna maandamano bali vijana wamegeukia uhuni.
Hawakujua wale vijana kule polisi tunao wahuni wa zamani wanaojua njia na ujanja wote wa kihuni.
Akirudi uni tag. Hawa watu wamepewa 'script' wafanye 'parroting''. Hawajui contents au context za script..Polisi wameuwa watu wengi ambao hawakuwa kwenye maandamano. Hilo sijui unalizungumziaje.
Hoja ya Vusi haina tofauti na ile ya Rais wa Botswana, wana haki na kila kinachotoka midomoni mwao.Kama huwezi kumjibu Vusi hakuna shida
Nashangaa umeibukia huku baada ya kukimbia hoja ya Wakatoliki feki . Tuliuza yale maandamano ya Wakatoliki yalikuwa halali?