PostGE2025 Vusi Thembekwayo: Haiingii akilini ushinde uchaguzi kwa 97.6% halafu uogope maandamano ya watu!

PostGE2025 Vusi Thembekwayo: Haiingii akilini ushinde uchaguzi kwa 97.6% halafu uogope maandamano ya watu!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akirudi uni tag. Hawa watu wamepewa 'script' wafanye 'parroting''. Hawajui contents au context za script

Waliaambiwa wazungumzie uharibifu wa mali kwa nguvu. Walipouliza Watu wangapi walikufa, hoja ikafa
Wakasema kuna Wanajeshi kutoka Kenya wamekamatwa Tarime. Walipouliza wameshtakiwa wapi, hoja ikafa
Wakasema kulikuwa na coup d'etat ambayo ni Treason. Wakaulizwa nani kashtakiwa, hawana hoja
Wakasema kuna Vijana wa Kenya wameingia nchini. wakaulizwa kule mahubusu wamejaa Watanzania. Hoja ikafa

Huyo Steven Joel Ntamusano alishika bango ''ukitaka kufanya maandamano lazima kibali cha Polisi'' . Juzi tumemuuliza Wakatoliki Feki wamepewa kibali kituo gani. Bw Ntamusano kakimbia uzi, kaibukia huku

Haiwezekani ku solve tatizo kwa hila. Lazima Watanzania tukabaliane na ''Facts'' hata kama ni chungu kiasi gani.
Siwezi kukimbia uzi mkuu nipo hapa. Hizi ni siasa nyepesi zenye nia ya kuchafuana lakini zimeshashindwa tayari.

Tume inaendelea na kazi muda huu, tusubiri nini watakachokiweka hadharani, tatizo wapo wanasiasa wanahusika na huo uhalifu sasa wanatumia nguvu nyingi kuipaka matope tume ili isifikie lengo lililotarajiwa.

Walianza kwa kufungua kesi mahakama kuu kupinga uwepo wake. Hawajui kwamba Rais anao wajibu wa kuunda tume pale anapoona ipo haja kwa mamlaka aliyonayo.
 
Samia amepoteza nafasi ya pekee sana ya kustaafu kwa heshima, PolePole alimsisitizia sana kuwa utaondoka kwa heshima Mama, acha na hizi mbio, akashupaza shingo.

Matokeo yake sasa hawezi kuondoka madarakani kwa heshima iwe kwa kujiudhuru au kwa kumaliza awamu yake kutokana na mauaji aliyofanya, heshima hiyo hana, muda wote ana hofu ya kuuliwa, uku anawasisi wa kupelekwa ICC, mara anaogopa mtoto wake Abdul atakuwa kwenye hali gani akitoka kwenye madaraka.
Nafasi ya pekee aliyomshauri Polepole ishapita, na muda haurudi nyuma.
Huyo Polepole haijui vizuri katiba ya nchi kuhusiana na urais. Chuki na ubaguzi vinamsumbua kichwani mwake.

SSH ni kiongozi mzuri kwa sisi tunaoangalia mbali zaidi ya vichwa vya habari vya magazeti na siasa za instagram.

Tume iliyopo kazini muda huu iliundwa kwa sababu za kisheria ambazo zinawanyima wote wanaotaka kumshtaki huko ICC uwezo wa kufanya hivyo, Kenya hawakuunda tume mwaka 2008 baada ya yale mauaji matokeo yake Kenyatta na Ruto wakapelekwa The Hague kama kuku.

SSH anaye mwanasheria mkuu gwiji wa sheria za kimataifa (international laws) yaani haya ndio mambo Hamza Johari aliyasomea kule Kiev Ukraine miaka ya 90.

Hizo habari za Abdul ni uchafuzi wa jina lake kwa lengo la kutafuta upenyo wa kumshambulia Rais SSH, wanamkosa moja kwa moja hivyo wanamshambulia mwanae ili kupunguzia heshima ya Rais. Yale yale ya miaka ile ya 90 wakati Hayati Mzee Mwinyi alipokuwa Rais, alishambuliwa Mama Sitti kwa nia ya kumchafua Rais Mwinyi.
 
hakuna mamluki au gaidi ataruhusiwa hata kwa sekunde moja tu kuandamana kilofalofa bila kufuata utaratibu eti kudai haki ya kuvuruga amani, kupora mali, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi au vinginevo nchini Tanzania.

ni vizuri kusahau kabisa hiyo nonsense.
ushindi wa Dr. Samia Suluhu Hassan kwa 97% ni ushindi wa waTanzania wote.
Ni vizuri kujivunia hilo kama Taifa,
Hiyo nonsense nyingine haitaruhuisiwa Tanzania :NoGodNo:
Ole hili shetani lilichoandika. Haya mashetani, damu za watu walizozimwaga, zimeyafanya kuingiwa na uwendawazimu.
FUatilia akiandika BIG SHOW, Tlaatlah, Mwashambwa, na the like; linganisha na uropokaji wa Mwglu na Bibi mnyonya damu, wote, wakiandika au kutoa kauli, unaona wazi kabisa, hawa watu hawapo kwenye uzima wa akili. Taratibu wameanza kuionja adhabu ya damu.
 
Aliyetoa amri na waliotekeleza yale mauaji wote wana mtindio wa ubongo.
 
Hoja ya Vusi haina tofauti na ile ya Rais wa Botswana, wana haki na kila kinachotoka midomoni mwao.

Wakatoliki feki ni siasa za kupakana matope ili ionekane SSH anaa chuki na wakatoliki, CHADEMA wanapokosa hoja nzito wanakimbilia kwenye siasa za kianaharakati zinazodumu vichwani mwa watu kwa siku mbili au tatu.
Swali ni kwamba yale maandamano ya Wakatoliki Feki ni halali? Walipata wapi kibali? Kwanini hawakuchwapwa risasa za vichwani, migongoni na Tumboni?

Kwamba CHADEMA ndio wamewatuma Wakatoliki! please hawa CDM wamepanga bure kwenye vichwa vyenu.
Ingalikuwa ni Wanachama wao leo tungeongelea marehemu! Mahakamani tu wanachapwa seuse maandamano
 
Hoja ya Vusi haina tofauti na ile ya Rais wa Botswana, wana haki na kila kinachotoka midomoni mwao.

Wakatoliki feki ni siasa za kupakana matope ili ionekane SSH anaa chuki na wakatoliki, CHADEMA wanapokosa hoja nzito wanakimbilia kwenye siasa za kianaharakati zinazodumu vichwani mwa watu kwa siku mbili au tatu.

..hukumsikia Ssh akiwananga TEC ktk mazungumzo yake na wazee wa Dsm?

..Sasa leo mmebadilika mnadai wakatoliki feki wanaopinga TEC wana chuki na Ssh?

..vipi kuhusu mashekhe wanaoshambulia TEC huku wakimuunga mkono Ssh.Wametumwa na nani kama sio genge la Ssh?
 
Huyo Polepole haijui vizuri katiba ya nchi kuhusiana na urais. Chuki na ubaguzi vinamsumbua kichwani mwake.

SSH ni kiongozi mzuri kwa sisi tunaoangalia mbali zaidi ya vichwa vya habari vya magazeti na siasa za instagram.

Tume iliyopo kazini muda huu iliundwa kwa sababu za kisheria ambazo zinawanyima wote wanaotaka kumshtaki huko ICC uwezo wa kufanya hivyo, Kenya hawakuunda tume mwaka 2008 baada ya yale mauaji matokeo yake Kenyatta na Ruto wakapelekwa The Hague kama kuku.
Kwanini unaogopa ICC?
 
hakuna mamluki au kibaraka atacheazea amani ya waTanzania, :CouldYouNot:

naunga mkono hoja now evil regime ya islamic republic of irani is falling, hatimaye nuru inaneokana tz, regime ya islamic republic of irani iianguka, atarudi kwao irani na tz mpya kuzaliwa ...
 
naunga mkono hoja now evil regime ya islamic republic of irani is falling, hatimaye nuru inaneokana tz, regime ya islamic republic of irani iianguka, atarudi kwao irani na tz mpya kuzaliwa ...
ni vyema waIran wakashughulikia mambo yao wenyewe bila kiherehere cha mamluki na vibaraka wao gentleman:HAhaa:
 
Ole hili shetani lilichoandika. Haya mashetani, damu za watu walizozimwaga, zimeyafanya kuingiwa na uwendawazimu.
FUatilia akiandika BIG SHOW, Tlaatlah, Mwashambwa, na the like; linganisha na uropokaji wa Mwglu na Bibi mnyonya damu, wote, wakiandika au kutoa kauli, unaona wazi kabisa, hawa watu hawapo kwenye uzima wa akili. Taratibu wameanza kuionja adhabu ya damu.
mamluki na magaidi ni makundi ambayo yanafaa ku eliminated bila huruma duniani kote.

hakuna haja ya kuwaonea huruma au haya kwenye kuyashughulikia.
Tanzania tuna population ya over70 milion citizens, ukieliminate 10milion mercenaries and terrorist gangs bado utakua na nguvu kazi ya kutosha but usalama utakua wa uhakika zaidi.

hakuna haja ya kubembelezana na magaidi waleta fujo, wavuruga amani, waporaji na waharibu miundombinu hata kidogo :HAhaa:
 
Jibu kama chawa mbobezi acha kona kona
yale mapimbi yalipewa kibali na nani kuandamana?

Nijibu acha kuchekacheka!
hakuna mamluki wala gaidi ataruhusiwa kuleta fujo, kupora mali au kuharibu miundombinu ya umma au binafs Tanzania.
Maandamno yanayoruhusiwa ni ya kuelekea kwenye nyumba ya milele tu,
wajulishe na mamluki wenzako kuhusu hili:NoGodNo:
 
Mambo madogo!! watu wanaacha Waajiri wao huko ulaya kuja kutimiza Jambo Hilo unaloliita dogo.
waje tu tena kwa wingi ili hatimae wamalize safari yao vyema na wapumzishe kwa amni kwenye nyumba ya milele :NoGodNo:
 
hakuna mamluki wala gaidi ataruhusiwa kuleta fujo, kupora mali au kuharibu miundombinu ya umma au binafs Tanzania.
Maandamno yanayoruhusiwa ni ya kuelekea kwenye nyumba ya milele tu,
wajulishe na mamluki wenzako kuhusu hili:NoGodNo:
Wale wakatoliki uvccm walipewa kibali na nani?
jibu swali.
 
Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025.

Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi kinaweza kutokea.

Kamchana Samia kidiplomasia kwa kusema kwamba ni upumbavu kwa upande mmoja kudai kuwa umeshinda uchaguzi kwa kishindo ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya nchi halafu kwa wakati huo huo unaogopa maandamano au mikusanyiko ya watu walio wachache sana.

Kwa mlio na changamoto ya bando, angalieni kuanzia dakika ya 29 mpaka dakika ya 31.


View: https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=JvfvhFi3n0iU1sR-

Kitendo Cha kuvuta na kuload dk29 to 31 haina tofauti na anaeangalia dk1 MPAKA 31
 
Back
Top Bottom