Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
100% true!zanzibar ni pazuri bila ya wazanzibari …
hakuna mamluki au gaidi ataruhusiwa hata kwa sekunde moja tu kuandamana kilofalofa bila kufuata utaratibu eti kudai haki ya kuvuruga amani, kupora mali, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi au vinginevo nchini Tanzania.Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025.
Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi kinaweza kutokea.
Kamchana Samia kidiplomasia kwa kusema kwamba ni upumbavu kwa upande mmoja kudai kuwa umeshinda uchaguzi kwa kishindo ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya nchi halafu kwa wakati huo huo unaogopa maandamano au mikusanyiko ya watu walio wachache sana.
Kwa mlio na changamoto ya bando, angalieni kuanzia dakika ya 29 mpaka dakika ya 31.
View: https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=JvfvhFi3n0iU1sR-
naunga mkono hoja,zijibiwe kwa hojaPascal Mayalla hoja hujibiwa na hoja
Vijana walivyokuwa wajinga wakawa wanasema sasa tukamtembelee Diamond, sasa tukamtembele Shilole kote huko waliacha uharibifu na wizi.hakuna mamluki au gaidi ataruhusiwa hata kwa sekunde moja tu kuandamana kilofalofa bila kufuata utaratibu eti kudai haki ya kuvuruga amani, kupora mali, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi au vinginevo nchini Tanzania.
ni vizuri kusahau kabisa hiyo nonsense.
ushindi wa Dr. Samia Suluhu Hassan kwa 97% ni ushindi wa waTanzania wote.
Ni vizuri kujivunia hilo kama Taifa,
Hiyo nonsense nyingine haitaruhuisiwa Tanzania
Kule X kuna kiumbe kakopi user name yako ya huku na dp kachukua halafu kaweka verified. Anaupiga mwingi kumsifia dikteta ni balaa.Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025.
Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi kinaweza kutokea.
Kamchana Samia kidiplomasia kwa kusema kwamba ni upumbavu kwa upande mmoja kudai kuwa umeshinda uchaguzi kwa kishindo ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya nchi halafu kwa wakati huo huo unaogopa maandamano au mikusanyiko ya watu walio wachache sana.
Kwa mlio na changamoto ya bando, angalieni kuanzia dakika ya 29 mpaka dakika ya 31.
View: https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=JvfvhFi3n0iU1sR-
ni vitu nonsense sana,Vijana walivyokuwa wajinga wakawa wanasema sasa tukamtembelee Diamond, sasa tukamtembele Shilole kote huko waliacha uharibifu na wizi.
Walitaka Tanzania iliyojengwa kwa miaka 60 ya kutoka jasho jingi itoweke tu ndani ya siku moja, wapuuzi sana wale vijana.
Walileta uhuni wakakutana na mapolisi walioanza uhuni kabla hata mama zao hawajawazaa.
Yaani kwa “ushindi” alioupata, angekuwa anajiachia sana na wananchi kila kona ya nchi!Huo ndiyo uchambuzi wa kila mwenye akili timamu na kaamua kuitumia bila kushikiwa!
Ukishakuwa na ushawishi wa kiwango hicho huhitaji hata kulindwa na mabunduki kiwango tunachokiona leo!
Mambo ya mitandaoni hayo.Kule X kuna kiumbe kakopi user name yako ya huku na dp kachukua halafu kaweka verified. Anaupiga mwingi kumsifia dikteta ni balaa.
hakuna mamluki au gaidi ataruhusiwa hata kwa sekunde moja tu kuandamana kilofalofa bila kufuata utaratibu eti kudai haki ya kuvuruga amani, kupora mali, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi au vinginevo nchini Tanzania.
ni vizuri kusahau kabisa hiyo nonsense.
ushindi wa Dr. Samia Suluhu Hassan kwa 97% ni ushindi wa waTanzania wote.
Ni vizuri kujivunia hilo kama Taifa,
Hiyo nonsense nyingine haitaruhuisiwa Tanzania