VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Ok.
 
Ahsante kwa jibu lako, Lakini bado nina ukakasi Kuhusu ugonjwa na maana yake

Mwalimu wangu alisema

Disease is abnormal condition in the living body

Upungufu Wa kinga si abnormality?
 
Njia nzuri ya kumsaidia mtoto asipate maambukizi ni mama kutonyonyesha lakini kwa sababu familia nyingi haziwezi kumudu maziwa ya kopo. Mama atashauriwa kunyonyesha mtoto kwa muda wa miezi sita, zamani ilikuwa miezi mitatu
What is logic behind ya mama kunyonyesha kwa muda wa miezi 6 na mtoto asipate HIV ?

As far as tayari mama ni mwathirika na anaweza kumuambukiza mwanaye anapomnyonyesha ?
 
What is logic behind ya mama kunyonyesha kwa muda wa miezi 6 na mtoto asipate HIV ?

As far as tayari mama ni mwathirika na anaweza kumuambukiza mwanaye anapomnyonyesha ?
Hiyo ni risk mojawapo
 
Hiyo ni risk mojawapo
Kwahiyo chance ya mama mwathirika kumuambukiza mtoto anayenyonya ndani ya miezi 6 ni ndogo ukilinganisha na muda baada ya miezi 6 ya tangu mtoto kuzaliwa? Kama jibu ni ndiyo, mechanism ya jambo hili kitaalam ikoje mpaka iwe hivyo?
 
Mtoto kuanzia miezi anakuwa ameisha anza Kula vyakula vingine hivyo hatari ya kupata vidonda mdomoni inakuwa kubwa
 
Mtoto kuanzia miezi anakuwa ameisha anza Kula vyakula vingine hivyo hatari ya kupata vidonda mdomoni inakuwa kubwa
Kwahiyo kumbe VVU kwenye maziwa ya mama haviwezi kumwingia mtoto mpaka pawe na blood contact kati ya VVU kwenye maziwa ya mama na damu ya mtoto ? Kama jibu ni ndiyo, Je, hali ni hiyohiyo kwa njia nyingine za maambukizi ya VVU kama vile mate na majimaji ya ukeni/kwenye uume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…