To me this is breaking news.Ni kweli dawa hizo. Zinatolewa kwa watu walioko katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU mfano Madaktari Baada ya kujichoma sindano, iwapo umekutana na mtu ambaye ana maambukizi
Kwa wanawake je huingilia wapi?Kwa wanaume virusi mara nyingi huingilia kwenye njia ya mkojo...be watchful
Endelea kujilindaTo me this is breaking news.
Naendelea kupata darsa.
Kwenye VKwa wanawake je huingilia wapi?
Swali lako lipo Deep sana inaelekea una wew ni mmoja wa watu wenye elim kubwa sana kuhusu ukimwiNaomba kufahamishwa kuhusiana na faida za dawa mpya ambayo itaanza kutumika hapa Tanzania kama FDC - First Line Regimen.... TLD ikilinganishwa na hii inayotumika sasa ya TLE.
Asante
Mkuu mimi sio mtaalamu lakn I read somewhere kuwa hawa retrovirus wanaishi kwenye damu, tena wanadai mate yana alkalinity medium which inhibit retrovirus, hebu jaribu kusoma website ya CDC, lkn hata sperm or vagina fluid hakuna retrovirus wanaishi humoMaziwa ya mama yana virusi vya UKIMWI. Na mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU kwa kunyonya maziwa ya mama. Ndio maana kwa mama ambaye ana uwezo njia nzuri ya kuzuia maambukizi ni kumpa maziwa ya chupa
Mate yana kiasi kidogo cha VVU kuliko majimaji mengine ya mwili
Vipimo tunavyotumia kujipimia huku mtaani ni salama na hakika kiasi gani katika majibu yake?Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Mkuu duuuh kweli umejihami kivita hongera kwakoNina mbinu yangu yakutunza mkojo kabla ya sex na nkimaliza nakojoa vip hii inafaa?
Kisha ni tag [emoji23][emoji23][emoji23]naona yeye kishaamsha teyari ila usife moyo hakuna mwenye hii dunia wote tunapitaTena kimbia mbio za mbwa mwizi.... Wala usigeuke nyuma...... Tehe Tehe Tehe.....!!! Mtag na mwenzio huyo ......
Acha unyanyapaa wewe.... Hayo mambo yalishapitwa sana na wakati. Acha hiyo tabia. Sio nzuri sana kwa afya. Tupo katika huu uzi kwa ajili ya kujifunza na sio kwa ajili ya kunyanyapaa watu.Kisha ni tag [emoji23][emoji23][emoji23]naona yeye kishaamsha teyari ila usife moyo hakuna mwenye hii dunia wote tunapita
Mkuu nia yangu nikuchokoze makusudi kabisa ili nione vizuri uko vipiAcha unyanyapaa wewe.... Hayo mambo yaliyopita na wakati. Acha hiyo tabia. Sio nzuri sana kwa afya. Tupo katika huu uzi kwa ajili yan kijifunza na sio kwa ajili ya kunyanyapaa watu.
Haya mambo sio siri. Yapo kwenye mitandao pia Mkuu. Ukidhamiria kuwa fukunyuku hizi taarifa zipo pia Mkuu.Swali lako lipo Deep sana inaelekea una wewe ni mmoja wa watu wenye elimu kubwa sana kuhusu UKIMWI
Kwanini mbu hawezi kueneza VVU pale anapomng'ata mtu mwenye VVU na baadae kwenda kumng'ata mtu asiye na VVU?Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Siwezagi Ligi za kipuuzi pia. Naomba nikuage kwa sasa.Mkuu nia yangu nikuchokoze makusudi kabisa ili nione vizuri uko vipi
Kweli mimi ni mpuuzi Sana umeona nilivyozezeta hata password za jf hua nasahau naenda kwa jirani yangu kujikumbushaSiwezagi Ligi za kipuuzi pia. Naomba nikuage kwa sasa.
Hivi kunyoa saloon kunaweza kupata maambukizi ya HIV,yaan Ku share zile mashine za kunyolea ma mtu ambaye ameathirika?Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Hii mpya kwanguNi kweli HIV ni pepo lililotengenezwa na fremanson ??