VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hivi kunyoa saloon kunaweza kupata maambukizi ya HIV,yaan Ku share zile mashine za kunyolea ma mtu ambaye ameathirika?
Mkuu hongera swali nzuri maana nakuwa na wasiwasi nikiwa salon
 
Mleta mada, hongera kwa kuanzisha mada hii,
Ni msaada mkubwa kwetu.

Mimi nina maswali machache,
1. Tunasikia Mama muathirika anaweza jifungua mtoto asiye na vvu, Je ni huwa kwa njia ya kujifungua kwa operation au kwa njia ya uke?

2. Je mtu anaweza kuwa na VVU na sioneshe hizo dalili zote za mwanzo ndani ya wiki 6?

3. Kwa mtu maenye miaka 20, akaambukizwa vvu, Je anaweza ishi hata miaka 50 kwa kufuata mashart?

Shukrani!!
 
Dawa zote hutolewa
Ukizitumia kabla zinakusaidia kupunguza hatari ya kupata maambukizi

Hata hivyo kinga ni bora kuliko tiba. Zingatia matumizi ya kondom kila mara
Zingatia matumizi sahihi ya kondom kila wakati sawa mkuu sasa vp kuhusu mate mana hii bwna unaweza zingatia matumiz ya kondom lakini denda mkuu denda hapo vp??
 
Nikweli maombezi, (kuombewa) kuna ponya ngoma??
 
Jipe moyo tu
Sio kuwa ajipe moyo!! Hilo lipo na linawezekana kabisa. Mtu aka sex na muathirika wa ukimwi, na wakati huyo muathirika hatumii ARV, na bado asipate hata apime mala mia!! Tunataka maelezo ya kitaalamu na sio mipasho
 
Maswali:
1. Unamfahamu Robert Gallo katika swala hili la HIV/Ukimwi- unamfahamuje?

2. Ni nini asili ya kweli ya VVU !? Ingawaje kumekuwa na taarifa au nadharia za sokwe na maabara.

3. Inawezekana kukubalika kuwa kweli dawa ya kutibu HIV/AIDS haipo duniani hapa na haijagundulika !?
 

1.Hauwezi kuambukiza kwa sababu kuna kiasi kidogo cha virusi kwenye mate

2.Inaweza kuchukua dakika 40 virusi kuwa hai. Hata hivyo uwezo wake wa kuambukiza unakuwa umepungua
3. Ndio vinaweza kuwa hai
 
Nimesikia kuna kipimo cha kupima ukimwi kwakutumia mate yaani unakiingiza mdomoni then kinakupa majibu kama unao au hauna
Ndio kuna kipimo cha namna hiyo. Kinatumika katika nchi nyingine
 
Sihitaji kusoma zaidi. Nina uhakika asilimia mia ya nilichokieleza. Labda jaribu kupitia tena source yako
 
Vipimo tunavyotumia kujipimia huku mtaani ni salama na hakika kiasi gani katika majibu yake?
Manake kuna tetesi kuwa havitoi majibu sahihi na wengine wanasema vinatoa majibu sahihi
Vipimo vyote vina sensitivity na specificity ya hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…