Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Nimiesha jibu hili swali. Hakuna carrier katika HIV. NATURAL HISTORY ya HIV iko HIV kuna watu wanaweza Kuugua UKIMWI miaka 18 baada ya kupata maambukizi ya VVU. Hawa ni wachache. Ndio wale unaosikiaga Wameisha kufa wanawake wawili yeye yupo tu. Lakini hakuna carrierPamoja na swali hili? Inasemekana kuwa kuna watu ambao ni waasirika/wana HIV ila ni "passive" (carriers) yaani wao hawana AIDS/UKIMWI lakini wanaweza kuambukiza wengine kama kawaida.
1. Je, uvumi huu ni wa kweli?
2. Je, ni kweli carriers hawa wao huwaga hawapati UKIMWI/AIDS ktk maisha yao yote?. na kwamba huwaga hawapotezi maisha 7bu ya UKIMWI/AIDS?
papa mobimba!
mwanangu ( miaka2.4) alimgang'ata mjomba wake ambaye ni HIV+ adi kumuachia alama/kidonda mkoni, ebu nipe chance /probability ya mwanangu kuambukizwa HIV, since then sijawahi kuwa na amani moyoni na kumpeleka kupima roho inauma inakataa .......
Wapo kwenye mate ila ni kwa kiwango kidogo sana negligibleKipimo cha mate ni yale yale tu wanapima damu si mate... Kama ingekua wanapima mate kwa nini sharti la kipimo kile ni kukiweka kwenye fizi na sio ukitemee mate kitoe majibu? Hakuna VVU kwenye mate wala jasho wala maziwa wala manii
.... Ingekua hivyo tungekufa sana.
Nimiesha mjibuDuuh! Kwanza pole sana Dada yangu.
Ngoja aje mtaalamu wetu...
Hiyo CCRK5 inapimwa maabara kujua kama mtu anayo au lah?!!!!NICE REPLY
CCRK5
GP 41
Sio miathirika bali she is healthcare providerMwathirika nini..??
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nice ansUnamaanisha kisex nae,,,,,,,yaah kuna vithibitisho kidgo vya hilo kitokea lkn daah ni kwa asilimia ndogo sana kidgo.
Penis inapoingia kwnye vagina.....haikutani na damu moja kwa moja bali hukutana maji maji ya uke......yale maji maji ya uke ni matokeo ya kumuandaa mwanamke vizur sana katika kiwango kinachohitajika........sasa yale maji maji ya uke ya asili ya mafuta mafuta kdgo ko hupelekea eneo kua laini sana na kuzuia friction.........
Bila kumuandaa mwanamke vizuri na ukawa na pupa kiasi hata mazingira ya mwanamke yasiwe tayar kwa kuipokea penis kama nlivoeleza hapo juu....
Friction kati ya penis na ukuta wa vagina inakua kubwa na kupelea michubuko kwa pande zote mbili (vagina na penis) michubuko hio hupelekea kukutana kwa damu za hao watu wawili.........na kama kuna lolote bs wataambukizana.......na sio damu pekee hata lymph liquid zina carry virus......na ukikutana nayo direct na kupenyeza kwnye blood system yako basi unapata
Nimiesha jibu hili swali. Hakuna carrier katika HIV. NATURAL HISTORY ya HIV iko HIV kuna watu wanaweza Kuugua UKIMWI miaka 18 baada ya kupata maambukizi ya VVU. Hawa ni wachache. Ndio wale unaosikiaga Wameisha kufa wanawake wawili yeye yupo tu. Lakini hakuna carrier
Vipimo vyake havipo hukukwetuHiyo CCRK5 inapimwa maabara kujua kama mtu anayo au lah?!!!!
Nimeona MkuuNimiesha mjibu
Hafu ukishajua huna CCRK5 utakacho kifanya unakijua na Mungu wakoHiyo CCRK5 inapimwa maabara kujua kama mtu anayo au lah?!!!!
Duuh!!!Vipimo vyake havipo hukukwetu
Ha
Hafu ukishajua huna CCRK5 utakacho kifanya unakijua na Mungu wako
Apo utazuia UTI labdaNina mbinu yangu yakutunza mkojo kabla ya sex na nkimaliza nakojoa vip hii inafaa?
Hiyo ni barrier methodVp kondom inazuiaje maambukizi ya ukimwi,?
Kinga inabidi ziwe normal zikipungua (ukimwi) si inakua abnormal = diseaseAhsante kwa jibu lako, Lakini bado nina ukakasi Kuhusu ugonjwa na maana yake
Mwalimu wangu alisema
Disease is abnormal condition in the living body
Upungufu Wa kinga si abnormality?
Mama anakuwa yuWhat is logic behind ya mama kunyonyesha kwa muda wa miezi 6 na mtoto asipate HIV ?
As far as tayari mama ni mwathirika na anaweza kumuambukiza mwanaye anapomnyonyesha ?
Mama anakuwa bado yupo kwenye doziWhat is logic behind ya mama kunyonyesha kwa muda wa miezi 6 na mtoto asipate HIV ?
As far as tayari mama ni mwathirika na anaweza kumuambukiza mwanaye anapomnyonyesha ?
Anaitwa HIVHuyu kirusi anayesababisha ukimwi anaitwaje?