Kaka Kuzungumza HIV AIDS bila kuhusisha mipango ya New world order (NWO) iliyosimamiwa na Henry Kissinger wa USA na mwenzake wa UK mantiki ya asili ya Ukimwi inakosa nguvu kwa mtu aliyezama zaidi.
Katika uongozi wa Richard Nixon, kwa influence kubwa ya the Rockefeller na watawala wengine wa Dunia waliandaa mipango lukuki ya kuweka order ya dunia. Vitu kama depopulation, free market economy, regional integration, na globalization n.k., nk.,etc nyingi ni makusudi yake.
Katika kipengele cha depopulation, biological weapons ilipewa nguvu kuliko Inuclear weapons. Matatizo ya HIV AIDS, na Ebola ni mpango mahsusi.
Kama mnakumbuka kimeta (chemical weapons) ilikuwa sehemu ya mpango, baadaye ikashtukiwa. Wakawekeza zaidi kwenye vyakula tunavyokula (processed foods) vya kiwandani. Mipango ni mingi, terrorism/ugaidi nayo ni mojawapo. Na ni mipango ya muda mrefu sana na itafanikiwa kwa sababu wanashughulika zaidi na akili na tabia zetu (psychological shaping), kwa usaidizi wa media na umaskini wetu.
Tukirudi kwenye HIV AIDS, chochote kinachofanyika khs Ukimwi kwa maana ya tafsiri yake, maambukizi na usambazaji, kinga, na tiba au kuponya ni vitu vinavyopita kwenye scheme/resolution/plans zao.
Majibu yako mengi, yamejikita katika utimilifu wa malengo ya waliopanga hii zahma. Siyo kosa lako, ndiyo mafundisho yanayotolewa hususani waliopo sekta ya afya. Kwa bahati mbaya, Elimu zetu haziruhusu mawazo tofauti/mbadala.
In short HIV AIDS ni depopulation tool encompassed with international business. At the same time ikiwafanya raia wa mataifa yakiwa na watu dhaifu mentally, physically and psychologically ili watawalike na wawe tegemezi.
Hakuna nia nzuri kwenye HIV AIDS, hakuna nia nzuri kwenye HIV transmission na prevention wala kwenye treatment.