UKWELI MCHUNGU:
Kwa vipimo vyetu vya 3rd generation, usishangae kupima na ukawa positive hata pasipokukutana kimwili na aliyeathirika wala kutoka vyanzo vingine vya maambukizi ya HIV. Mtu mwenye afya mgogoro akiwa exposed kwa mkupuo kwenye mazingira yenye utitiri wa magonjwa mfano TB, mkanda wa jeshi, malaria, homa, kipindupindu etc, na kisha akafanya kipimo cha HIV/AIDS ni rahisi sana kusomeka HIV+ kwasababu kinga yake itakuwa ipo chini sana kutokana na antibodies activities ndani ya mwili wake dhidi ya maradhi aliyonayo kwani haijathibitika kama HIV pekee ndiye anayeshambulia T-cells au zinzwezakuwa dhaifu hata pasipokuwepo na HIV katika damu.
Kipimo cha kinachotumika katika nchi zetu hizi kinadanganya sana(there's business and hidden policy behind this). Kipimo cha (HIV RNA) ndichokipimo accurate ambacho nchi zilizoendelea hukitumia na ndiyomaana takwimu zetu zinaonesha kuwa tupo juu sana katika viwango vya maambukizi.
Mbaya zaidi ni trauma anayoipata mtu baada kuambiwa kuwa ni positive na kisha kuanzishiwa ARV ambayo hummaliza kabisa kwani dawa yoyote mwilini ni sumu hasa pale inapotumika muda mrefu.