clinical pharmacology2
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,387
- 2,516
Hahaha!!Huwezi kusoma kitabu ambacho hakijawa edited..hilo ni kama pamphlet la nyangwine
Eti pamphlet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!Huwezi kusoma kitabu ambacho hakijawa edited..hilo ni kama pamphlet la nyangwine
Tupe mbinu namna ya kuubana mkojo mkuu.Ata skatai ila kama ukimwi unaambukizwa hivyo nngeshaupata man!..... Niamini nakwambia.
Ndiyo inaweza kuwa detected kwa njia ya PCR ingawa ni highly expensiveHiyo CCRK5 inapimwa maabara kujua kama mtu anayo au lah?!!!!
😂😂😂Tupe mbinu namna ya kuubana mkojo mkuu.
Yaani wewe ndio hujielewi kabisaMimi sijauliza tafsiri ya HIV
Hivi unafkiri haya majibu anayotoa hapa ni kitu rahisi Sana??Nina wasiwasi na huyu aliepost,ukiangalia majibu yake ni kama vile hana uelewa wowote kuhusiana na HIV
Haha [emoji23]Je wwe una ukimwi??
Mwenye hekima habishani..Wewe na huyo zezeta mwenzako ndio hamjielewi, nyie mtakuwa ni waganga wa kienyeji tu kwendeni zenu kule
Historia inasema hivi janga la sasa la HIV inawezekana lilianza miaka ya 1930, hata hivyo ugonjwa ulianza kuenea kwa kasi sana miaka ya 1970. Hata hivyo Kwa Mara ya kwanza UKIMWI ULILIPOTIWA TRH 5JUNE 1981Ukimwi ni ukisefu wa kinga mwilini.
Je Nani mtu wa kwanza kubainika kuwa ni muasilika wa ugonjwa huo na ilikuwa mwaka gani na ktk Nchi gani. Naomba pia kumjua mgunduzi alikua ni nani?
Mimeanza late kusoma post yako kwahiyo ikitokea nimeuliza swami lililojibiwa unisamehe. Naomba kufahamu kama MTU anaweza kupima uwepo wa CCRK5 kwenye damu, na je, ni ngazi gani ya huduma ya afya inaweza kupima CCRK5?Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
CCRK5 haipo kwa ajili ya mass consumption. Ipo kwa ajili ya research katika nchi zilizoendeleaMimeanza late kusoma post yako kwahiyo ikitokea nimeuliza swami lililojibiwa unisamehe. Naomba kufahamu kama MTU anaweza kupima uwepo wa CCRK5 kwenye damu, na je, ni ngazi gani ya huduma ya afya inaweza kupima CCRK5?
Kipimo kitaonyesha kama ana HIVHuyu uliyemtaja kama long term progresser (mwenye HIV) ukimpima hali ya maambukizi ya HIV, kipimo kitaonesha mambukizi ndani ya muda sawa na watu wengine wanaoweza kuwa tested +ve?