Virusi navyo vinakuwa vimeenda kufyonza mvinyo (vinapenda sana Balimi nasikia),,,,sasa vikizima huko obvious majibu yatakuwa negative...sasa ngoja vizinduke vikiwa na njaa na mlevi wewe hujavinywesha supu asubuhi...balaah lao lazima ukaadisie.Kuna dhana kwamba muathirika akienda kupima huku akiwa na kiasi kikubwa cha pombe mwilini/tungi! Vipimo havisomi sawasawa,Je kuna ukweli wowote na je kuna namna yoyote inayoathiri uonekanaji wa VVU kwa muathirika/figisu/fitina za kuwaficha HIV kwenye vipimo?
We jamaa mkuda sana wewe🤣🤣🤣🤣Virusi navyo vinakuwa vimeenda kufyonza mvinyo (vinapenda sana Balimi nasikia),,,,sasa vikizima huko obvious majibu yatakuwa negative...sasa ngoja vizinduke vikiwa na njaa na mlevi wewe hujavinywesha supu asubuhi...balaah lao lazima ukaadisie.
Foolish hujui chochote mbuzi wewe,umeulizwa swali unatuletea habari za vyeti, stupid!!!! Huna ufahamu wowoteElimu uliyopata imekusaidia kujua kusoma na kuandika tu. Sidhani kama unaweza kuchambua mambo
Jamaa unatoka mapovu..Foolish hujui chochote mbuzi wewe,umeulizwa swali unatuletea habari za vyeti, stupid!!!! Huna ufahamu wowote
FoolishJamaa unatoka mapovu..
Ngoja yakutokeeee tu....Foolish
Jioneshe tu ulivyo mbulilaFoolish
Mwenzako wa Longitudinal katoka barutiFoolish hujui chochote mbuzi wewe,umeulizwa swali unatuletea habari za vyeti, stupid!!!! Huna ufahamu wowote
SijakuelewaKwa nini muathirika aliyeacha dawa(ARV) akizirudia tena LAZIMA achane msamba?
Zinatolewa kitambo sana. Unatumia kwa muda wa mwezi mmoja1)mkuu hizi dawa za (PrePep) kwaajili ya kinga ya HIV kwa sasa zimeshaanza kutolewa hapa bongo?
Na je matumizi yake yakoje ni kwamba mtu atameza kila siku katika maisha yake kama zilivyo arvs za kawaida au anameza tu pale atakapo kuwa anahitaji kukutana na mwenza mwenye HIV +?
2)Naweza kupata maelezo njia za kufata ili kuishi na mwenza mwenye HIV+ na kupata watoto wazima bila yule mwenza mwenye HIV- kupata HIV?
Hiyo dhana sio kweliKuna dhana kwamba muathirika akienda kupima huku akiwa na kiasi kikubwa cha pombe mwilini/tungi! Vipimo havisomi sawasawa,Je kuna ukweli wowote na je kuna namna yoyote inayoathiri uonekanaji wa VVU kwa muathirika/figisu/fitina za kuwaficha HIV kwenye vipimo?
HIV wamekuwepo miaka mingi. Kama yalivyo magonjwa mengine ya virusi maambukizi kutoka kwa primates kuja kwa binadamu ndio chanzo kikuuuKuna ukweli wowote juu ya hili? View attachment 979029
Kwa nini huwa wanakufa wanapozirudia hizo dawa(ARV) wakiziacha kwa muda?Sijakuelewa
Mgonjwa akiacha dawa maana yake ni rahisi virusi kuwa sugu. Lakini sio kweli kwamba huwa wanawahi kufaKwa nini huwa wanakufa wanapozirudia hizo dawa(ARV) wakiziacha kwa muda?
kichwani uko vizuri sana embu tuchekie na vikazi uko kwny mashirika ya UkimwiMgonjwa akiacha dawa maana yake ni rahisi virusi kuwa sugu. Lakini sio kweli kwamba huwa wanawahi kufa
Kuna ukweli wowote juu ya hili? View attachment 979029
Jiandae tu...Sasa Mimi nimegegeda vyangudoa wengi bila kinga inakuaje hapo