dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nashukuru mungu amenipambnia Sana Sina kitu ila huruma zake nimeziona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikomandoo vile😃😃😃Nili jua kabisa,
Ndo hivyo mzee, nakumbuka nili kaa siku 3 bila kula.Kikomandoo vile😃😃😃
Ndiyo maana mtu mmoja kasema "the world is not fair but God is good"
Wenzako walipokuwa wanaufurahia "wali", wewe ulijishindia maji ya mchele mbichi. Kweli, the world is not fair...
Mbele ya njaa, hata ugali mkavu huwa mtamu.Tulikuwa kempu njombe,Kuna shule tulikuwa tunajenga Mimi kama saidia fundi,basi siku ya kwanza unaambiwa yule mkurugenzi kashusha mbuzi pale watu tukasema tajiri si ndio huyu!?Ila hata hatujafika kupaua mazonge yakaanza tajiri anaonekana Kwa tochi,nakumbuka siku hakuna kitu zaidi ya unga yaani mpaka chumvi ilikuwa hamna,masela wakatoa wazo tupike tu uji,maana ugali bila mboga haiwezekani,basi wakati uji unakaribia kuiva wakaibuka wasukuma kuwa nguna lazima lisongwe asiyetaka na asile,basi ukatolewa uji kidogo ukawekwa pembeni halafu likasongwa nguna,yaani Ile linaiva linawekwa chini naona Jamaa wanakata tonge wanatowea kwenye uji,Nikaona na mm ni nani nikakata tonge nikachota uji kama mboga nikaweka mdomoni,unaambiwa dakika Tano nyingi masela wakawa wanakwangua. ukoko.
Kamsalimie hata jirani.Uzi mzuri na Unanitia nguvu kuona Kumbe kila mtu ana nyakati Zake za moto.
Mimi taingia jana asubuhi mpaka muda huu ni vikombe vya maji tu ndo vimehusika tumboni.
Usiku wa Jana ulikuwa mrefu sana sijui wa leo.
KATIKA MIDA HILE YA KUTAFUTA , INAFIKIA HATUA UNAKULA ILI UISHI YAANI UNAKULA CHOCHOTE ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, MIMI NSHAKULA UGALI NA CHUMVI................MIXER MAJI YA KUNYWA................................
WEWE JE ?
Nilikosa unga ,nikapika pumba za kuku na nikamla na kukuNimeshawahi kula Ugali kwa harufu ya soksi.
🤣🤣🤣🤣inabidi tuache kula mkuu🤣🤣 ila nimecheka jamani🙌🏿Nimeshtuka kumbe parachichi na ugali ni umepigika🤔🤔🤔
Aje nimfunze maisha...japo hiyo ni wanyasaAnakuletea dharau hajui we mnyachusa na ni kawaida, je ukimwambia kuwa unakunywa chai na ndizi kisukari si atakukimbia wewe huyu.
Huwezi Penda vyakula vyote mkuuHaikuwa kawaida... Maana kati ya matunda ambayo nilikuwa sipendi ni pamoja na hili ila baada ya kufika mbeya sikuwa na namna.
Akae kwa kutulia tuHajui ma flavour huyo.
Kumbe Hali hii tumepitia wengi mzee wangu Mungu ampumzishe kwa Amani alinifanya kua na uwezo wa kufikiri zaidi hasa shida inapoingia ugali kwa kuchovya kwenye chumvi ilinikuta mpk kubaki na maswali mengi inamaana mzee kakosa pesa ya mboga kabisaKATIKA MIDA HILE YA KUTAFUTA , INAFIKIA HATUA UNAKULA ILI UISHI YAANI UNAKULA CHOCHOTE ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, MIMI NSHAKULA UGALI NA CHUMVI................MIXER MAJI YA KUNYWA................................
WEWE JE ?
Hatari sana🤣🤣🤣🤣inabidi tuache kula mkuu🤣🤣 ila nimecheka jamani🙌🏿
Intelli acha Uongo 🤓🤓Nili kunywa maji ya mchele mzee, wali osha mchele Waka yaacha Nika pita nayo.