Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,075
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda tukakodi waandamanaji kutoka uarabuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda tukakodi waandamanaji kutoka uarabuni
Kwenye lamiHawa wapinzani wamekwama wapi?
Let us be serious
Zitto huyu huyu???, Maalim Seif Huyu Huyu????
Mbowe huyu huyu????
Na Rungwe mmoja
MKUU ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA HATUJUI MAMBO YA KUPOLWA HAKI ZA KATIBA NA WALA HATUJALI KABISA!!Hakuna asiyetaka amani, ila wanaopora haki ndio wanaohatarisha amani. Unaweza ukanipa sababu ya msingi ya watu kupora haki ya wengine kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa? Hata nikipewa mimi nchi hii, huo uhuru wako wa kupambania hao watoto wako sitaupora, hivyo hofu yako haina msingi.
Wewe nguruwe tuAtaandamana zito ,mbowe ,na sipunda wakiwa na wake zao huo ujinga wa kuwafanya vilema watoto wa maskini harafu mnarudi CCM awamu hii hakuna
State agent
Hamna wa kuandamana, mstari wa juu ulimaliza kila kitu! Watanzania wapo busy kutafuta mkate, hawa wa humu wengi ni keyboard warriors na wanakaa kwa shemejiMKUU ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA HATUJUI MAMBO YA KUPOLWA HAKI ZA KATIBA NA WALA HATUJALI KABISA!!
SISI TUNACHOJUA NI KUAMKA ASUBUHI NA KWENDA KUFANYA SHUGHULI ZETU KWA AMANI TELE NA JIONI KURUDI KWENYE FAMILIA ZETU!!
SASA HAYO MAANDAMANO YENU (yaani hapa nazungumzia vyama vyote pamoja na ccm) YASITUHARIBIE AMANI TULIYONAYO HASA SISI WATANZANIA TULIO WENGI AMBAO HATUTEGEMEI MAMBO YENU YA SIASA!
KAMA MMEIBIANA AU MMEPORANA HAKI ZENU SIJUI ZA KIKATIBA NENDENI MKADAIANE HUKO MAOFISINI KWENU KWENYE MAVYAMA YENU PAMOJA NA MA CCM YENU!!
CHA MUHIMU TUACHIENI AMANI YA NCHI YETU!!
duh
Mkuu utakuwa na degrees zaidi ya 4
Cuf na walijitoa ila sijaona jina lao?Dar es Salaam. Siku moja kabla ya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuanza, vyama saba vilivyojitoa katika mchakato wa uchaguzi huo vimetoa tamko vikiwataka Watanzania kujiandaa kwa maelekezo mengine yatakayotolewa baada ya kumalizia mashauriano.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Novemba 16 baada vyama vya CHADEMA, ACT-Wazalendo, CHAUMMA, CCK, NCCR Mageuzi, UPDP na NLD kutoa msimamo wao.
Akiongea kwa niaba ya vyama hivyo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Profesa Abdallah Safari amesema vyama hivyo vilishatoa matamko ya kujitoa kwenye uchaguzi huo kutokana na ukiukwaji wa kampuni na sheria.
Amesema baada ya vyama hivyo kujitoa kushiriki uchaguzi, serikali kwa upande wake ilitoa matamko mbalimbali yaliyokuwa yakitofautiana na kuchanganya, licha ya kuwa yalikuwa yakitolewa na mtu mmoja ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
"Baada ya wagombea wa vyama hivyo kujitoa kwenye uchaguzi huo, waliwajulisha wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kuhusu kujitoa na kwa ngazi ya Taifa baadhi ya vyama vilimjulisha waziri wa TAMISEMA kwa barua,” amesema Profesa Safari.
Baada ya kushauriana vyama hivyo vimeazimia kwa pamoja havitashiriki kwa vyovyote “kwenye kampeni na uchaguzi unaoenda kinyume na kanuni za uchaguzi” na vimewataka wanachama na wafuasi kutoshiriki.
Aidha vyama hivyo vimetoa wito “uchaguzi huo ufutwe na mchakato wake uanze upya kwa mustakabali wa amani ya Taifa.”
"Tunatoa wito kwa umma na Watanzania wajiandae kwa maelekezo yoyote yatakayotolewa baada ya mashauriano yanayoendelea miongoni mwa vyama na makundi mengine ya jamii," amesisitiza Profesa Safari.
Maazimio mengine ni pamoja na kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia uchaguzi zote nchini.
Amesema vyama hivyo vimetambua kauli na wito uliotolewa na viongozi wastaafu na viongozi wa dini nchini na kuwaomba kuchukua hatua za kuingilia kati mapema ili kunusuru amani ya Taifa.
Akizungumza katika mkutano huo, Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Watanzania wanatakiwa kuwa tayari na kutega masikio wakati vyama hivyo na makundi mbalimbali yakiendelea na mashauriano.
"Hatutakubali kuendelea kupingwa kwa miaka minne mfululizo. Tunawataka Watanzania kuendelea kutega masikio wakati hatua zikiendelea ikiwemo mashauriano na makundi mbalimbali," amesema Zitto.
Mwenyekiti wa Chaumma, Hashimu Rungwe ametumia mkutano huo kufafanua taarifa zinazoelezwa kuwa vyama vingine vilivyojitoa havikuweka wagombea, akisema si za kweli na akashauri zipuuzwe.
"Mimi niliweka wagombea 25O ambao walitolewa wote wanaosema sikuweka wagombea muwapuze," alisema Rungwe
CHANZO: Mwananchi
Kuna taratibu za kila kitu.Kwahiyo kwa akili zako za ngamia serikali ikiwekwa madarakani kwa mfumo huo na ikibainika ina borongo na kukandamiza haki za raia wake iachwe tu//you are very corrupt
Nakushauri japo sina degree NNE,uamuzi uliouandika sio vyema ukitumika katika nchi hii,vita ikitokea nchi itagawanyika vipande vipande.Naona hapa kuna viongozi wengine wenye nafasi kubwa serikalini wanatumiwa vibaya na mabeberu ili kuchafua sifa ya Dr Rais Magufuli!! some leaders in sensitive positions are incognito being used by armyworms who are not happy with the current Aggressive efforts of revamping the Tanzanian economy! In certain vernacular it is literally translated as “THEY ARE ACTING LIKE HEADLESS GRASSHOPPERS”!![emoji38][emoji38]Yetu macho! The simplest advice is for the President to get rid of such headless grasshoppers!