Vyama pinzani mkibarikiwa kutwaa ushindi uchaguzi mkuu mtatufanyia lipi Wananchi zaidi ya CCM?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.

Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.

Silioni !!!
 
Utawala bora na wa haki,kuundwa kwa TAASISI imara huru na zenye kujitegemea(hii itaondoa umungu mtu kama ulivyo sasa),freedom of expression, IDs kwa watanzania wote ambazo zitakua ndani ya system's inayoongea nchi nzima, (na hili litaanzia na watoto wanaozaliwa, kabla mama hajatoka maternity ward atakua na birth certificate yenye jina la mtoto kutoka kwa mzazi na nchi itampatia number ,na namba hii itakua ndio jina lake na ataishi nayo na kufa nayo)dual citizenship kwa watanzania, uchumi huru, cabinets itakuwa na 15 to 20 minister's,mikoa itarudishwa ya zamani only 20, wananchi they needservice delivery sio utitiri wa mikoa na wilaya,uhuru wa kuandamana,police kuwa trained upya na wote,modern and small defence force,Tiss itafutwa na kutengenezwa upya.
 
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.

Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.

Silioni !!!
Tuanze na Nyerere, alitufanyia lipi baada ya kukabidhiwa nchi na mwingereza.
Unaandika Post huku hautaki maoni, unatuwekea maoni yako.
 
Utawala bora na wa haki,kuundwa kwa TAASISI imara huru na zenye kujitegemea(hii itaondoa umungu mtu kama ulivyo sasa),freedom of expression,IDs kwa watanzania wote ambazo zitakua ndani ya system's inayoongea nchi nzima,(na hili litaanzia na watoto wanaozaliwa,kabla mama hajatoka maternity ward atakua na birth certificate yenye jina la mtoto kutoka kwa mzazi na nchi itampatia number ,na namba hii itakua ndio jina lake na ataishi nayo na kufa nayo)dual citizenship kwa watanzania,uchumi huru,cabinets itakuwa na 15 to 20 minister's,mikoa itarudishwa ya zamani only 20,wananchi they needservice delivery sio utitiri wa mikoa na wilaya,uhuru wa kuandamana,police kuwa trained upya na wote,modern and small defence force,Tiss itafutwa na kutengenezwa upya.
We unayeropokahaya unajuwa utawala wewe? unajuwa watu ukiwapa uhuru huo unaouzungumzia nini watafanya? wewe watu waone hivihivi hakuna kiongozi mwema kwao
 
Tuanze na Nyerere, alitufanyia lipi baada ya kukabidhiwa nchi na mwingereza.
Unaandika Post huku hautaki maoni, unatuwekea maoni yako.
Yaaani ninyi ndiyo mnajinasibisha kupewa nchi kwa majibu haya!
 
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.

Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.

Silioni !!!
[emoji3] [emoji3] Wamemaliza kila kitu basi wao waseme tu wataufanya Tz iwe kama Marekani au China
 
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.

Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.

Silioni !!!
Una akili za upande mmoja kama nyengo, toka nje ya box uangal8e na kulinganisha na wengine!!! Au babako n8 balozi wa nyumba kumi kumi???,,
 
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.

Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.

Silioni !!!
We mpumbavu sana, unauliza swali ambalo unaweka jibu lake mwishoni sasa unatarajia Nani akuelezee watakayofanya? Stupid.
 
Utawala bora na wa haki,kuundwa kwa TAASISI imara huru na zenye kujitegemea(hii itaondoa umungu mtu kama ulivyo sasa),freedom of expression,IDs kwa watanzania wote ambazo zitakua ndani ya system's inayoongea nchi nzima,(na hili litaanzia na watoto wanaozaliwa,kabla mama hajatoka maternity ward atakua na birth certificate yenye jina la mtoto kutoka kwa mzazi na nchi itampatia number ,na namba hii itakua ndio jina lake na ataishi nayo na kufa nayo)dual citizenship kwa watanzania,uchumi huru,cabinets itakuwa na 15 to 20 minister's,mikoa itarudishwa ya zamani only 20,wananchi they needservice delivery sio utitiri wa mikoa na wilaya,uhuru wa kuandamana,police kuwa trained upya na wote,modern and small defence force,Tiss itafutwa na kutengenezwa upya.
STAY BLESS, HATA TUMBO LILILOKUZAA LIBARIKIWE
 
hata marekani kuna maskini ambako ni nchi tajiri mpaka misaada inatoa jiulize kwanini
Wewe ni mavi sana, masikini wa marekani ni tajiri wa nchini kwako, acha ujinga. Kama masikini anaweza kupata hata dola 7 kwa siku huyo sio mwenzio na nchi hiyo sio ya kujifananisha fala wewe.
 
Hata katika nchi zilizoendelea kama Marekani bado wanafanya uchaguzi na vyama vinabadirishana ikulu je itakuwa Tanzania?
Kwanza huwezi kusema ccm imeshamaliza kila kitu wakati mpaka leo ccm inakopa pesa IMF kujenga madarasa! Yaani hata wale watu waliosomeshwa bure na serikali bado mpaka leo ccm imeshindwa kutengeneza sera za kuwafanya waone umuhimu wa kujenga madarasa hata kwenye shule za vijiji tu walikosoma na kulelewa!

CCM kujinasibu kuwa inatoa elimu bure wakati madarasa haiwezi kujenga mpaka kwenda kukopa IMF ni umaskini wa fikra! Hapa kwa vyovyote tunahitaji chama chenye sera mbadala! Lakin kwa ccm hii Tz tunayoitaka tutasubiri sana!
 
Msizungumze kasoro ndogo ndogo za CCM,CCM inaendelea kuijenga nchi ndio nikasema msifikiri tamaa zenu zitatekelezwa kwa siku moja,mambo huenda kwa mikakati na tunaona neema kila kona,ibakie uvivu wako tu.

Na si marekani Nchi nyingi zinalipa raia zake hadi wakimbizi hupatiwa makazi,karibuni hayo yatafikiwa kinachohitajika muwe na subira,Rome haikujengwa siku moja,na kwa siku hizi mambo yamendeleea chini ya CCM muda wa uletwaji wa maendeleo umepunguzwa kwa maana ,tunayoyaona zamani yakichukuwa miaka kuyatekeleza,

Nimeuliza mtafanya lipi jipya na sio mnauliza eti tokea Nyerere CCM imefanya nini ,moja ambalo mnalikwepa ,leo hii kwenye uongozi wa CCM kila mtu anamiliki simu ya mkononi,zamani ya karibuni hayo hayakuwepo.

sasa wengi wanamiliki bajaji,bodaboda na karibu tu kila Mtanzania ataweza kumiliki gari zaidi ya moja,hivi sasa inakaribia kila nyumba kumiliki gari...!

Wakuu mnaodai kutaka kuongoza nchi hii mna jipya lipi ? Nahisi kubalini yaishe muunge mkono CCM nanyi mzidi kubarikiwa,maana silioni mtakalokuja nalo likaishangaza waTanzania kuwa walikuwa wamecheleweshwa na CCM,halipo.
 
Wewe ni mavi sana, masikini wa marekani ni tajiri wa nchini kwako, acha ujinga. Kama masikini anaweza kupata hata dola 7 kwa siku huyo sio mwenzio na nchi hiyo sio ya kujifananisha fala wewe.
Sasa suala ni je wanafanana wote kipato? Si ni nchitajiri
 
Back
Top Bottom