Tuanze na Nyerere, alitufanyia lipi baada ya kukabidhiwa nchi na mwingereza.CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.
Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.
Silioni !!!
We unayeropokahaya unajuwa utawala wewe? unajuwa watu ukiwapa uhuru huo unaouzungumzia nini watafanya? wewe watu waone hivihivi hakuna kiongozi mwema kwaoUtawala bora na wa haki,kuundwa kwa TAASISI imara huru na zenye kujitegemea(hii itaondoa umungu mtu kama ulivyo sasa),freedom of expression,IDs kwa watanzania wote ambazo zitakua ndani ya system's inayoongea nchi nzima,(na hili litaanzia na watoto wanaozaliwa,kabla mama hajatoka maternity ward atakua na birth certificate yenye jina la mtoto kutoka kwa mzazi na nchi itampatia number ,na namba hii itakua ndio jina lake na ataishi nayo na kufa nayo)dual citizenship kwa watanzania,uchumi huru,cabinets itakuwa na 15 to 20 minister's,mikoa itarudishwa ya zamani only 20,wananchi they needservice delivery sio utitiri wa mikoa na wilaya,uhuru wa kuandamana,police kuwa trained upya na wote,modern and small defence force,Tiss itafutwa na kutengenezwa upya.
Hata Marekani kuna maskini ambako ni nchi tajiri mpaka misaada inatoa jiulize kwaniniHadi leo nchini watoto wanakaa chini huduma za jamii mbovu
Yaaani ninyi ndiyo mnajinasibisha kupewa nchi kwa majibu haya!Tuanze na Nyerere, alitufanyia lipi baada ya kukabidhiwa nchi na mwingereza.
Unaandika Post huku hautaki maoni, unatuwekea maoni yako.
[emoji3] [emoji3] Wamemaliza kila kitu basi wao waseme tu wataufanya Tz iwe kama Marekani au ChinaCCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.
Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.
Silioni !!!
Nina imani hujaelewa nilichoandikahata marekani kuna maskini ambako ni nchi tajiri mpaka misaada inatoa jiulize kwanini
Hatuongelei marekani tunaongelea Tanzania.hata marekani kuna maskini ambako ni nchi tajiri mpaka misaada inatoa jiulize kwanini
Una akili za upande mmoja kama nyengo, toka nje ya box uangal8e na kulinganisha na wengine!!! Au babako n8 balozi wa nyumba kumi kumi???,,CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.
Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.
Silioni !!!
We mpumbavu sana, unauliza swali ambalo unaweka jibu lake mwishoni sasa unatarajia Nani akuelezee watakayofanya? Stupid.CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.
Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.
Silioni !!!
STAY BLESS, HATA TUMBO LILILOKUZAA LIBARIKIWEUtawala bora na wa haki,kuundwa kwa TAASISI imara huru na zenye kujitegemea(hii itaondoa umungu mtu kama ulivyo sasa),freedom of expression,IDs kwa watanzania wote ambazo zitakua ndani ya system's inayoongea nchi nzima,(na hili litaanzia na watoto wanaozaliwa,kabla mama hajatoka maternity ward atakua na birth certificate yenye jina la mtoto kutoka kwa mzazi na nchi itampatia number ,na namba hii itakua ndio jina lake na ataishi nayo na kufa nayo)dual citizenship kwa watanzania,uchumi huru,cabinets itakuwa na 15 to 20 minister's,mikoa itarudishwa ya zamani only 20,wananchi they needservice delivery sio utitiri wa mikoa na wilaya,uhuru wa kuandamana,police kuwa trained upya na wote,modern and small defence force,Tiss itafutwa na kutengenezwa upya.
Wewe ni mavi sana, masikini wa marekani ni tajiri wa nchini kwako, acha ujinga. Kama masikini anaweza kupata hata dola 7 kwa siku huyo sio mwenzio na nchi hiyo sio ya kujifananisha fala wewe.hata marekani kuna maskini ambako ni nchi tajiri mpaka misaada inatoa jiulize kwanini
Aliyeweka Post ameweka na majibu, mimi nitaandika nini.Yaaani ninyi ndiyo mnajinasibisha kupewa nchi kwa majibu haya!
Sasa suala ni je wanafanana wote kipato? Si ni nchitajiriWewe ni mavi sana, masikini wa marekani ni tajiri wa nchini kwako, acha ujinga. Kama masikini anaweza kupata hata dola 7 kwa siku huyo sio mwenzio na nchi hiyo sio ya kujifananisha fala wewe.
AmeenSTAY BLESS, HATA TUMBO LILILOKUZAA LIBARIKIWE