Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia.

Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.

Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .

Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
 
rejea ya habari yako ni ipi?
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.

Nyie watu wa CCM akili zenu zinafanana na Viongozi wenu wanaotutawala,siyo kosa lako
 
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.
Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .

Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
Garbage
 
images (9).jpeg
 
Naiona CHAUMA ikishaini na kuzoa viti vya ubunge Kwa msaada wa ccm maana hakuna namna
 
Acha kupotosha watu hayo umejitungia wewe😂😂😂
Mwenyekiti wa Chauma alisema hio na akawaomba wananchi wanaotaka kupiga kura wasione shida wajiunge na vyama vingine ,sikiliza vizuri anapozungumza. Siokoti habari za nchi za ulaya na aljazeera.
 
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.
Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .

Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
Huo mkutano ulioamua haya ulifanyika nchi au dunia gani? Vikao vya baa mnatuletea hapa!
 
Mkipata Jimbo Moja mnijulishe!
Mwaka huu ndio mwaka CCM itakapopata viti vichache maana ndio wakati wa kukiwasha kwenye kituo cha kura ikiwa wasiojulikana watafika kuteka kura na masanduku yake.
 
Zimwi linawaandama.
Bahati mbaya kwao,Msingida na Mkulia ile caple ya kisiasa mpaka mnye.

Mwaka huu,mtapambana kutetea NOMA lenu.

Wananchi wanaojielewa wapo na Chadema.
No reform no Election.
Mavi yamegonga vyipi Lumumba
 
Back
Top Bottom