Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.
Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .

Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
Mjue Yale mapambano yao ya No Reform No Election yakifanikiwa, yatawasaidia na nyinyi. Kuwa na busara kidogo, msiwabeze
 
"Chadema ni chama dhaifu sana, hakina madhara kabisa" Walisema Wahafidhina.
 
Badala ya kutangaza chama lenu, vijana wa fissiem mnatangaza vyama pinzani..??

Jinga kabisa
 
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia.

Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.

Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .

Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
.
Kumve na wewe, ni bwege kichwani kiasi hiki!

Hilo tamko la vyama liko wapi? Au ndiyo mwanzo wa upotevu wa akili umekuingia?
 
Wao si wasishiriki uchaguzi wawaache Chadema nao watoe civic education ya umuhimu wa kutoshiriki kwani kitaharibika nini , kila mtu atachagua panapomfaa.
 
Kidogo hapa NI ACT Wazalendo tena ktk upande wa ZNZ
Kwa upande wa Bara hakuna chama zaidi ya CDM hivi vyama vidogo vya msimu ni mradi wa chama fulani.
 
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia.

Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.

Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .

Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
Hii post wakikulipa uniite mbwa.
 
CHADEMA kweli inaweza kusema inasimamia demokrasia kwa kulazimisha uchaguzi usiwepo ikiwa kuna vyama vingine vinataka ucjaguzi uwepo?
 
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia.

Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.

Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .

Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
Hivi haya yote Lissu hakuyaona kujifanya mjuaji kote kule? 😂😂
 
Tafadhali soma tena ulichoandika ,ujidharau kwanza mwenyewe
 
Hebu kajisafishe vizuri uje uandike tena, maana unaonekana bado una uharo
 
Back
Top Bottom