Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.
Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .
Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
Nyie watu wa CCM akili zenu zinafanana na Viongozi wenu wanaotutawala,siyo kosa lakoSasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.
Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .
Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
GarbageSasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.
Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .
Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
kwa size hio Ushaharibiwa
Mwenyekiti wa Chauma alisema hio na akawaomba wananchi wanaotaka kupiga kura wasione shida wajiunge na vyama vingine ,sikiliza vizuri anapozungumza. Siokoti habari za nchi za ulaya na aljazeera.Acha kupotosha watu hayo umejitungia wewe😂😂😂
Ni wenu ni sawa lakini sio wa kila chama hilo mlielewe hilo.Msimamo wenu sio wa kila chama.Nchi ya kidemokrasia hii kila chama kina uhuru wa kufuata mkondo wakeNo Reforms No Elections ndio msimamo wa chama
Huo mkutano ulioamua haya ulifanyika nchi au dunia gani? Vikao vya baa mnatuletea hapa!Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia . Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao watupishe tunaojiandaa kupambana na CCM kiume. Wao waende na kirua ndio atawaokoa na wabaki kusubiri matangazo ya mashirika ya habari yanavyopata viewers kwa habari za Tanzania.
Vyombo vinatafuta viewers Chadema wao wanaona wanaimarishwa yaani mkisikia mwaka wa kula hasara ndio huu, ,leo CHADEMA wamebaki kuangaza mitandaoni leo kuna lolote litawasaidia angalau ,unakuta habari ni zilezile ,leo CNN kesho BBC aafu zinatisha .
Chadema mmekataa kushiriki uchaguzi subirini REFORM. Wewe unachezea uchaguzi wenzako wanautafuta ,kaa chonjo saa mbaya.
Mwaka huu ndio mwaka CCM itakapopata viti vichache maana ndio wakati wa kukiwasha kwenye kituo cha kura ikiwa wasiojulikana watafika kuteka kura na masanduku yake.Mkipata Jimbo Moja mnijulishe!