Vyama vya Siasa 8 nchini China

Ok upo huru kufungua mada ya U.S.A na kuelezea uzuri wa mifumo yake hakuna anaye kuzuia lakini kuniita mpumbavu sioni kama ni busara wewe kufanya hivyo

Just be a good guy
 
Kikawaida ni miaka kumi. Nijibu kwa ni Xi hajastaafu?
Mbona nimekujibu kuwa hakuna term limit kwa cheo chake au unataka jibu gani zaidi ya hilo ?
 
Kumbuka Kuna umri huchaguliwi maana unatakiwa kutumika vipindi vya miaka 5 mara mbili. Premier 2032 atakua na 76. How??????
Hakuna ulazima wa kuchaguliwa miaka miwili kikatiba
 
Achana hata na Hu Jintao Rais mstaafu, njoo kwa Waziri wa Sheria aliyetaka Xi asiongezewe muhura kafungwa maisha.
Siku Xi akifariki nchi itapata msukosuko, anajikuza kuliko taasisi za nchi
View attachment 2575434
Alipinga lini ? Na je unafahamu kosa la Fu Zhenghua mpaka kufika mahakamani na kuhukumiwa ?
 
Ok
 
Umeishiwa hoja ?
 
Hakuna ulazima wa kuchaguliwa miaka miwili kikatiba
Kwenye congress iliyopita hakuna mtu yeyote aliyeingizwa ili kupata uzoefu wa uongozi. 2028 hakuwezi kuwa na mabadiliko maana lazima mtu akae kwenye Politburo ajifunze namna ya kuongoza. Kwenye wale memba mia mbili na ushee sikumbuki kuona mtu aliyozaliwa mwaka 1970 na kuendelea. Hapo mna 1950 na 60. Hawa ni wazee tayari. Kwa kweli inabidi tuwaondoe baby boomer kwenye uongozi duniani. Wanakaba mno hawataki kuamini wamezeeka.
 
Kwenye congress iliyopita hakuna mtu yeyote aliyeingizwa ili kupata uzoefu wa uongozi.
Uzoefu wa uongozi China unaanzia level ya chini mpaka level ya juu hauanzii juu tu
 
Hongkong wana mfumo wao usio ingiliwa na mainland
Niambie ilikuaje wanachama wa chama Cha demokrsia walifungwa? Kwa Nini lazima Politburo ipitishe jina l mgombea?
 
2028 hakuwezi kuwa na mabadiliko maana lazima mtu akae kwenye Politburo ajifunze namna ya kuongoza.
You are predicting the future. Ok
 
Alipinga lini ? Na je unafahamu kosa la Fu Zhenghua mpaka kufika mahakamani na kuhukumiwa ?
Umejiunga lini JF? Unadhani humu ni chuo utakuwa unauliza maswali unavyojisikia mtu anaanza kukufundisha?
Hujui elimu ni gharama. Nimekuquote ili ujue, sina muda wa kuwa nakujibu na commands zako za kijinga za hebu nieleze, unajua kuhusu hiki, una kitu fulani. Mwenyewe nikianza kukuuliza maswali hapa muda hamna. Kuwa GT
 
Bro kwa heri. Bahati nzuri nimesoma mabadiliko ya 1968, kifo Cha Mao na gang of five, mandamano ya 1989, utetezi wa Deng wa 1992, nimeishi wakati wa Hu na Wen Jiabao. Pia nimeona Xi na Li na Sasa Xi. Asipokua makini kufikiri kesho ataiangusha China kwa tamaa na hofu ya kupatwa na vilivyompata baba yake.
 
Members wote una wafahamu ? Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…