Vyama vya Siasa 8 nchini China

Vyama vya Siasa 8 nchini China

Braza consensus ilikua kwa Deng, Jiang na Hu. Sasa hivi Xi alitaka wasilale hawalali. 2018 alibadilo katiba kumruhusu kuendelea kuwa katibu mkuu wa chama na Raisi wa nchi.
Hapakuwahi kuwa na term limits katika kiti cha general Secretary within the party
 
Hii habari umepata wapi ?
Hahaha unashangaa nn mi kulijua hili?

Je, nikikwambia nilikuwepo ndani mule kwenye bunge wakati hili swala linatokea utawaza nn?

I've already told you, the world is watching you all what you're doing.
 
Hapakuwahi kuwa na term limits katika kiti cha general Secretary within the party
Lakini Kuna consensus ya wazee kuhusu muda wa kukaa madarakani. Miaka kumi kwa Jiang, Hu na consensus hiyo ndiyo iliyompa nafasi Xi ya kupanda mpaka kuwa 6 ranked? Kama hakutaka kubadili kwa nini asiachie uraisi akabaki kuwa General Secretary na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya china?
 
2023 kachagua timu ya watu saba isiyokua na mtu mwenye umri chini ya 60. Pia amehakikisha falsafa yake imewekwa kwenye katiba.
Katiba haisemi kuwa lazima members wa Political bureau standing committee lazima wawe na umri wa miaka 50

Falsafa za marais wote wa China toka kwa Mao, Deng, Jiang, Hu, Xi zipo katika mitaala na mafundisho katika chama
 
Mkuu kizzy wizzy tambua kuwa Kila nchi ina utaratibu wake hasa kwa kuzingatia historia,jamii,uchumi,siasa na utamaduni ni vena kuelewa kwamba siasa ya China haiwezi kuwa siasa sawa na mataifa ya ulaya na marekani na ndivyo vivyo hivyo siasa za ulaya na marekani haziwezi kuwa sawa na siasa ya China

"Pale ukigundua kwamba hakuna meza iliyo andaliwa kwa ajili yako basi tengeneza meza yako"
Tatizo sio nchi kuwa na katiba, na mm sipingi hili, tatizo ni Huyu jamaa kuja kutudanganya as if hatujui uchafu wao.

Maswali yetu muhimu tunayomuuliza hayajibu anaishia kuipamba CPC tu hapa
 
Member wa politburo na alternative wote ni watu walio chini yake wote.
Members wa political bureau wote wana pigiwa kura na members wote wale hawa teuliwi na Xi na kuchaguliwa kwa mapenzi yake
 
Wateule wote ni watu waliofanya kazi nae. Subiri kuona namna anavyoenda kuigandamiza jamii ya kichina.
Jamii ipi ya kichina itakayo gandamizwa ? Han, Hui, Bai, Manchu, Uyghurs, Tibetians, Mongol etc
 
Atleast Ile kufanya maamuzi kwa consensus kulifanya wasirudie ya 1968 lakini Sasa ni nani wa kufunga paka kengele?
Siku zote watu hujifunza kutokana na makosa. makosa iliyo fanya chama miaka ya nyuma usitegemee kuona yaki rejea
 
Kwamba wakati anaingia kwenye kikao yeye hakujijua ni mgonjwa?
Hali ya kiafya hubadilika muda wowote pasipo kujali mazingira hasa kwa mtu mgonjwa
 
Kwa Nini alikua anagoma kutoka? Kwa Nini alimshika Premier Li? Kwa ni Xi alikua analazimisha walinzi wamtoe nje?
Alizungumza na former premier Li keqiang na general Secretary Xi kabla ya kutolewa nje na walinzi wa afya yake na wala haikuwahi amri ya Xi
 
Katiba haisemi kuwa lazima members wa Political bureau standing committee lazima wawe na umri wa miaka 50

Falsafa za marais wote wa China toka kwa Mao, Deng, Jiang, Hu, Xi zipo katika mitaala na mafundisho katika chama
Iliyowekwa kwenye katiba ni ya Mao na Xi tu. Imewekwa kama core.
 
Alizungumza na former premier Li keqiang na general Secretary Xi kabla ya kutolewa nje na walinzi wa afya yake na wala haikuwahi amri ya Xi
Braza hata kama kichina sikijui lakini kugha ya mwili ya Hu haikutaka kutoka. Pia lugha ya Li ni kama alikua anaogopa. Pia kwa Taifa la China Ile congress ni kita kinaandaliwa kwa miaka mitano. Hakuna nafasi ya kukosoa. Ilikuaje aruhusiwe kuingia ndani ya ukumbi kama alikua mgonjwa? Mbona hajatoka hadharani na kusema nilikua mgonjwa? Ukitaka kujua kama alifukuzwa au hakufukuzwa subiri atokee afe Xi akiwa general Secretary then utaona gazeti la serikali litaandika Nini.
Isije kua napambana na member wa kitengo Cha ideology Cha china.hapa
 
Hahaha unashangaa nn mi kulijua hili?

Je, nikikwambia nilikuwepo ndani mule kwenye bunge wakati hili swala linatokea utawaza nn?

I've already told you, the world is watching you all what you're doing.
Umeshindwa kuelezea umepata wapi. Let make it simple
 
Lakini Kuna consensus ya wazee kuhusu muda wa kukaa madarakani. Miaka kumi kwa Jiang, Hu na consensus hiyo ndiyo iliyompa nafasi Xi ya kupanda mpaka kuwa 6 ranked? Kama hakutaka kubadili kwa nini asiachie uraisi akabaki kuwa General Secretary na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya china?
Urais is only ceremonial position
 
Tatizo sio nchi kuwa na katiba, na mm sipingi hili, tatizo ni Huyu jamaa kuja kutudanganya as if hatujui uchafu wao.

Maswali yetu muhimu tunayomuuliza hayajibu anaishia kuipamba CPC tu hapa
Ni swali gani sijajibu naomba unioneshe.

Je, na maswali yangu unaya jibu ?
 
Back
Top Bottom