Vyama vya Siasa 8 nchini China

Vyama vya Siasa 8 nchini China

Iliyowekwa kwenye katiba ni ya Mao na Xi tu. Imewekwa kama core.
Unafahamu kuhusu general Secretary Jiang Zemin "Three represents and socialist market economy" Hu Jintao " Scientific development"
 
Braza hata kama kichina sikijui lakini kugha ya mwili ya Hu haikutaka kutoka.
Hu ana matatizo ya kiafya mfano kama ya Rais wa U.S.A Biden umewahi kufuatilia reactions zake ?
 
Unafahamu kuhusu general Secretary Jiang Zemin "Three represents and socialist market economy" Hu Jintao " Scientific development"
Yes and they were not added to the constitution as the core to direct the country. The only thought that was added to the constitution are Mao Zedong thought and the second is Xi Jinping thought.
 
Braza hata kama kichina sikijui lakini kugha ya mwili ya Hu haikutaka kutoka. Pia lugha ya Li ni kama alikua anaogopa. Pia kwa Taifa la China Ile congress ni kita kinaandaliwa kwa miaka mitano. Hakuna nafasi ya kukosoa. Ilikuaje aruhusiwe kuingia ndani ya ukumbi kama alikua mgonjwa? Mbona hajatoka hadharani na kusema nilikua mgonjwa? Ukitaka kujua kama alifukuzwa au hakufukuzwa subiri atokee afe Xi akiwa general Secretary then utaona gazeti la serikali litaandika Nini.
Isije kua napambana na member wa kitengo Cha ideology Cha china.hapa
Kama alikuwa atakiwi ndani ya 20th National Congress wasingemruhusu ata kwenda.

Former party general Secretary Ni mtu mkubwa sana chamani sio rahisi hayo unayo zungumza kutokea
 
Kiongozi unajichosha tu hapo,

Huyu jamaa ni mwana propaganda wa CPC, he is being paid to do this

Hakuna namna atakubaliana na ww kuhusu uchafu wowote unaofanywa na selikari inayoongoza na CCP

Swala Taiwan tu, nilimuuliza kwann China wanafanya military drill sometimes wanaingia hadi kwenye anga la Taiwan, hakulitolea ufafanuzi.

Kama unatudanganya tu hapa tutaweza VP kukuamini kama huna Nia ya kutu brainwash na kuja kututawala kifrika...
 
And yet aliubadilishia Sheria.
Hakuna mahali alipo ubadilishia sheria bali kipengele kilifanyiwa marekebisho na members wote wala sio yeye Xi
 
Kama alikuwa atakiwi ndani ya 20th National Congress wasingemruhusu ata kwenda.

Former party general Secretary Ni mtu mkubwa sana chamani sio rahisi hayo unayo zungumza kutokea
Consensus ya wazee ni kila kizazi kitawale kwa miaka kumi tu. Hii ni kuepusha kurudia makosa ya Mao yaliyosababisha uchumi kuporomoka na mauaji makuu ya mabadiliko ya utamaduni ya 1968. Lazima alijaribu kukataa Japo sehemu pekee ambapo umma wote utakuona ni kwenye kikao Cha kuchagua politburo mpya.
 
Kiongozi unajichosha tu hapo,

Huyu jamaa ni mwana propaganda wa CPC, he is being paid to do this

Hakuna namna atakubaliana na ww kuhusu uchafu wowote unaofanywa na selikari inayoongoza na CCP

Swala Taiwan tu, nilimuuliza kwann China wanafanya military drill sometimes wanaingia hadi kwenye anga la Taiwan, hakulitolea ufafanuzi.

Kama unatudanganya tu hapa tutaweza VP kukuamini kama huna Nia ya kutu brainwash na kuja kututawala kifrika...
Atakua yupo kwenye kitengo Cha nje Cha propaganda. Nchi zetu zinatakiwa kuwa makini sana na majasusi mbalimbali yanahotumwa na nchi mbalimbali. Huwa wanafungua mpaka vituo vya polisi vya kutishia mtu yeyote atakayekwenda kinyume na maagizo ya serikali ya kikomunisti.
 
Yes and they were not added to the constitution as the core to direct the country. The only thought that was added to the constitution are Mao Zedong thought and the second is Xi Jinping thought.
Reforms zote kubwa lazima ziwepo katika katiba
 
Hakuna mahali alipo ubadilishia sheria bali kipengele kilifanyiwa marekebisho na members wote wala sio yeye Xi
Kwamba alilazimishwa hakutaka? Kama alilazimishwa ni kwa Nini Li hakubakizwa pia? Kwani anatofauti Gani ya umri na Xi? Na Sheria hairuhusu mtu mwenye miaka 65 kubaki kwenye uongozi wakati wa mkutano mkuu wa kichina wa baada ya miaka mitano. Je, ilikuaje Xi mwenye miaka 69 akapita?
 
Consensus ya wazee ni kila kizazi kitawale kwa miaka kumi tu. Hii ni kuepusha kurudia makosa ya Mao yaliyosababisha uchumi kuporomoka na mauaji makuu ya mabadiliko ya utamaduni ya 1968. Lazima alijaribu kukataa Japo sehemu pekee ambapo umma wote utakuona ni kwenye kikao Cha kuchagua politburo mpya.
Umesoma tafsiri ya vyombo vya kimataifa lakini sio taarifa ya matabibu. Sorry for that
 
Wapo Sasahivi, south Africa, Malawi wameshafungua police stations zao. CCP Bila police hakiendi
Purukushani zitaaanza Xi akifa ghafla. Yani hapo hajandaa mrithi ndipo utaona factions zikipigana ili kuishika Forbidden City
 
Atakua yupo kwenye kitengo Cha nje Cha propaganda. Nchi zetu zinatakiwa kuwa makini sana na majasusi mbalimbali yanahotumwa na nchi mbalimbali. Huwa wanafungua mpaka vituo vya polisi vya kutishia mtu yeyote atakayekwenda kinyume na maagizo ya serikali ya kikomunisti.
No, I'm not
 
Kwamba alilazimishwa hakutaka? Kama alilazimishwa ni kwa Nini Li hakubakizwa pia?
Former premier Li keqiang alifika umri wa kustaff. Pia alitangaza kustepdown toka National Congress ya 2018
 
Purukushani zitaaanza Xi akifa ghafla. Yani hapo hajandaa mrithi ndipo utaona factions zikipigana ili kuishika Forbidden City
Meritocracy system will take place same as 1976 & 1978
 
Swala Taiwan tu, nilimuuliza kwann China wanafanya military drill sometimes wanaingia hadi kwenye anga la Taiwan, hakulitolea ufafanuzi.
Taiwan ni sehemu ya China moja je unabisha kuhusu hilo ?
 
Kiongozi unajichosha tu hapo,

Huyu jamaa ni mwana propaganda wa CPC, he is being paid to do this

Hakuna namna atakubaliana na ww kuhusu uchafu wowote unaofanywa na selikari inayoongoza na CCP

Swala Taiwan tu, nilimuuliza kwann China wanafanya military drill sometimes wanaingia hadi kwenye anga la Taiwan, hakulitolea ufafanuzi.

Kama unatudanganya tu hapa tutaweza VP kukuamini kama huna Nia ya kutu brainwash na kuja kututawala kifrika...
If you like to participate just partipate, if you don't you better rest
 
Former premier Li keqiang alifika umri wa kustaff. Pia alitangaza kustepdown toka National Congress ya 2018
Kikawaida hakuna mtu mwenye miaka zaidi ya 65 anayeruhusiwa kuendelea kuwa kwenye Politburo wakati wa uchaguzi. Je imekuaje 1st ranked ni 69,second mpaka 6th ranked wamezidi umri unaoruhusiwa kisheria kuwa kwenye Politburo? Mbona mmewastaafisha kina Li kwa kigezo Cha umri? Mwambieni Xi atadondikea mtoni. Wamebaki watu wa ndio Mzee ndio Mzee. Hakuna WA kumwambia hapana policy hii hapa tunakosea au hapa tunaenda kwa kasi mno. Hu alisimamia uchumi ukiokua kwa kasi mno. Alikua na uwezo wa kufanya atakavyo ila alikua alistahili kuficha ukatili kwenye tabasamu lake kwa nchi za magharibi. Leo china inaelekea shimoni maana makampuni ya Marekani yamezuiwa kuwapa wachina baadhi ya technologia. Pia china imeanza chokochoko na nchi kama Vietnam, Ufilipino na Japan. Sioni tofauti yake na ufalme wa kijapan uliotawala China na Korea kwa mabavu.
 
Wapo Sasahivi, south Africa, Malawi wameshafungua police stations zao. CCP Bila police hakiendi
Hauwezi kufungua police station katika taifa lengine pasipo kufuata taratibu na sheria za taifa husika
 
Back
Top Bottom