Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkUmejiunga lini JF? Unadhani humu ni chuo utakuwa unauliza maswali unavyojisikia mtu anaanza kukufundisha?
Hujui elimu ni gharama. Nimekuquote ili ujue, sina muda wa kuwa nakujibu na commands zako za kijinga za hebu nieleze, unajua kuhusu hiki, una kitu fulani. Mwenyewe nikianza kukuuliza maswali hapa muda hamna. Kuwa GT
Rushwa na ufisadi ni adui wa hakiBro kwa heri. Bahati nzuri nimesoma mabadiliko ya 1968, kifo Cha Mao na gang of five, mandamano ya 1989, utetezi wa Deng wa 1992, nimeishi wakati wa Hu na Wen Jiabao. Pia nimeona Xi na Li na Sasa Xi. Asipokua makini kufikiri kesho ataiangusha China kwa tamaa na hofu ya kupatwa na vilivyompata baba yake.
Dictatorship can be defined as the form of government in which one person or a small group possesses absolute power without effective constitutional limitations.What is dictatorship ?
OkDictatorship can be defined as the form of government in which one person or a small group possesses absolute power without effective constitutional limitations.
The countries that suit this example are China, Russia, North Korea, Cuba, Iran, Syria, Saudi Arabia, Bahrain etc.
Wachina wakijadili maendeleo ya Nchi yao....
Jamaa anaisoma nambaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anaisoma nambaa[emoji23][emoji23]
Anafkiri watanzania ni mabogus
Afrika itapata ukombozi wa kweli pale tu tutakapo amua kufuata sera zetu kuendana na historia,jamii,jiografia na utamaduni wetu kitendo Cha kuona kwamba Afrika itajikomboa kiuchumi,kisiasa,kijamii kwa kuegemea Ulaya,Asia au America ni kujidanganya wazi wazi sio Ulaya, America na Asia watakuja kulijenga bara la Afrika na nchi zake bali wapo kwa ajili ya maslahi ya nchi zao.Uimara wa kusabotage nchi zingine, hivi unajua walichokifanya wachina kwenye jengo la AU kuhusu kuiba taarifa?
Unaujua mpango wa China kwa Africa?
Au ww unaona wanakuchekea tu.
Nimekuuliza unaujua mpango wa China kwa Afrika?Afrika itapata ukombozi wa kweli pale tu tutakapo amua kufuata sera zetu kuendana na historia,jamii,jiografia na utamaduni wetu kitendo Cha kuona kwamba Afrika itajikomboa kiuchumi,kisiasa,kijamii kwa kuegemea Ulaya,Asia au America ni kujidanganya wazi wazi sio Ulaya, America na Asia watakuja kulijenga bara la Afrika na nchi zake bali wapo kwa ajili ya maslahi ya nchi zao.
Ujinga wa viongozi wa bara la Afrika ndio umefanya bara hili kuonekana la ajabu na ujinga mwingi hivyo kuchezewa na mataifa makubwa ya Ulaya, America na Asia
Hakuna taifa lenye kulitakia bara la Afrika kheri zaidi ni unyonyaji tu sio kutoka Ulaya, America na Asia wanacho tofautiana ni njia tu za unyonyaji.Nimekuuliza unaujua mpango wa China kwa Afrika?
Kuna kitu kinaitwa "Dept trap diplomacy" unakijua?
Xi anatumia msemo aliouacha Mao na anauzingartia kwelikweli unaosema "there is two ways to conquer a man, one is by sword another is by Dept"
Xi ni mkomunost na ni Mao mtupu, fatilia vizuri na ujue madhara yake ni yapi kwa Africa,
Leo hii wachina wamejazana Zambia wapo kila Kona hawaheshimu sheria za nchi, wanawabagua na kuwadhalilisha wa Zambia kwenye nchi yao, Leo hii wazambia wanakwambia ni Bora kuwa mchina Zambia kuliko kuwa Mzambia Zambia.
Hawa jamaa we waone hivyohivyo jaribu kukaa nao karibu ndio utawajua vizuri. They don't respect local countries laws kabisa.
Hivyo siyo vyama, ni jumuia tu ambayo haishiriki katika mambo ya SIasa. Uliwahi kusikia China kuna uchaguzi wowote? Mzee Deng alijaribu kujenga jamii ya kidemokrasia mpaka akaweka ukomo wa uongozi, na kujaribu kuwa na uchaguzi lakini alipokufa tu, mambo ya uchaguzi yakatupiliwa mbali, na alipoingia jamaa Xi yeye akafuta hata ukomo wa uongozi akawa frais wa maisha. Nchi yenye rais wa maisha unaitegemea kuwa na uchaguzi wowote kweli?China ni nchi inayo ongozwa na chama cha kikomunisti.
Chama cha kikomunisti sio chama pekee kilichopo katika nchi ya China bali kuna vyama vingine nane ukiondoa chama cha kikomunisti.
Vyama hivi nane hutambulika kama vyama shauri kwa serikali na vinajumuishwa katika bunge la watu wa China.
Hii ni tofauti na mfumo wa vyama vingi katika mataifa mbalimbali duniani ambavyo kwao huita vyama vya upinzani.
Je, vyama hivyo nane vya China tofauti na CPC ni vipi ? Tujifunze
1.View attachment 2575255
2.View attachment 2575256
3.View attachment 2575258
4.View attachment 2575259
5.View attachment 2575261
6.View attachment 2575262
7.View attachment 2575263
8.last partyView attachment 2575264
9.View attachment 2575265
10.View attachment 2575266
ENDView attachment 2575268
Mchina akija kuharibu mazingira kwetu hapo kosa sio mchina kosa lipo kwetu sisi wasimamizi wa Sheria na sera zetu juu ya mazingira wachina wanapaswa kufuata Sheria zetu sio kuacha wafanye wanavyo taka katika nchi yetu.Ishu sio mwafrica na hauwezi kuzuia muingiliano wa jamii moja na nyingine iwe kibiashara AMA kijamii,
Kwann tusiwalalamikie wajapan, au wakorea au wanorwegian au waarabu? Kwani wao hawapo kwenye hizi nchi za Africa,
Ishu ni kwamba mchina anacheza rafu. Ni anaongoza kwa uharibifu wa mazingira.
Leo hii China kwenyewe wanahaha kupata maji safi na salama, Ardhi yao wameivuruga kwa sehemu kubwa, mito yao ndo usiseme inatirirsha maji yenye sumu.
Wamekata miti karibia maeneo mengi ya mlimani China sasahivi inahaha kwenye swala la mazingira na hawajali.
Mitabia yao mibaya wanaisambaza mpaka huku Afrika.
Unazijua sheria za kimataifa za kulinda mazingira? Au "international environmental laws" wewe..?Mchina akija kuharibu mazingira kwetu hapo kosa sio mchina kosa lipo kwetu sisi wasimamizi wa Sheria na sera zetu juu ya mazingira wachina wanapaswa kufuata Sheria zetu sio kuacha wafanye wanavyo taka katika nchi yetu.
Suala la wachina kuharibu mazingira kwao hilo linawahusu wao na sera zao na Sheria zao maana hatufanani nao katika nyanja zote mkuu
Why China Kuna Tabia za kibaguzi na selikari wala CCP hawakemei?Ni swali gani sijajibu naomba unioneshe.
Je, na maswali yangu unaya jibu ?
Suala la uchafuzi wa mazingira ni global problem hasa kwa mataifa yaliyo endelea kiviwanda kote dunia Asia,Ulaya na marekani sioni mantiki ya wewe ya Kila Jambo kutupa lawama kwa China as if China ndio chanzo Cha uchafuzi wa mazingira pekee duniani.Unazijua sheria za kimataifa za kulinda mazingira? Au "international environmental laws" wewe..?
Sheria za mazingira za kimataifa zinalenga vitu vikuu vinne.
(1) protecting the global atmosphere, including preventing climate change and ozone depletion;
(2) conserving wildlife and biological diversity;
(3) managing the oceans and marine environment; and
(4) regulating global movement of chemicals, wastes and other hazardous ...
Unaposema swala la uharibifu wa mazingira kwakuwa limefanyika China basi tuachane nalo hapo nakuvua vyeo na utafanya nikuone hauna upeo wa kutosha kuleta hoja hapa.
Unajua ni madhara kiasi gani China inachangia kwenye uharibifu wa anga hewa au hewa ukaa,.?
Unajua ni madhara gani China inachangia kwenye kuharibu wildlife kwa kuua kuharibu na kula viumbe pori?
Unajua ni kwa kiasi gani China inavuruga uzalianaji wa samaki kwa kufanya overfishing?
Taka sumu zinazoachiliwa kwenye mito na bahari unajua zina madhara kiasi gani kwa taifa la kesho?
Twende kisomi..!!
Leo hii oil spills ikitokea China usitegemee kwamba madhara yatabakia China pekee Bali yatasambaa na kuleta madhara kulekote ambapo hayo mafuta yatasambaa kulingana na mzunguko wa ocean currents na kwa taka sumu ndio hivyohivyo, Tambua hili!
Wacha nikujibu for last. moja(1) ubaguzi upo duniani kote pili(2) serikali haihusiki na aina yoyote ile ya ubaguzi tatu(3) kubaguliwa na mchina moja, wawili au watu haimaanishi hiyo ndiyo mentality ya raia na viongozi wote wa ChinaWhy China Kuna Tabia za kibaguzi na selikari wala CCP hawakemei?
Kwanini mwafrica aanapokuwa China haruhusiwi kukanyaga hospitali za wachina na pia baadhi ya restaurant na sehemu zingine zenye huduma muhimu mnamdiscriminate mtu mweusi?
Utatuaminisha VP kwamba nyinyi wachina hamna Nia binafsi ambayo ni ovu kwetu kwa kutuenezea propaganda ilhali kwenu mnatubagua, kutudharau na kutunyanyapaaa.?
Demokrasia ya kichina ipo toka utawala wa Mao alicho fanya Deng ni marekebisho machache yenye manufaa katika demokrasia ndani ya chama, serikali na nchi na mpaka sasa ipoMzee Deng alijaribu kujenga jamii ya kidemokrasia mpaka akaweka ukomo wa uongozi, na kujaribu kuwa na uchaguzi lakini alipokufa tu, mambo ya uchaguzi yakatupiliwa mbali,