Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa.
(a). Kwa nini vyama hamuanzishi miradi mipya ya vitegeuchumi ili pasipo kutegemea ruzuku fedha hizi ziwasaidie kuendesha shughuli za chama?
(b). Kwa nini mnaamni ktk kuomba omba toka nchi za magharibi - hivi hamfikirii kwamba wao hupataje fedha na resources zingine za kuendesha shughuli za vyama vyao - Je, wakianza kuwapa fedha kwa masharti kwamba mpk mruhusu ushoga, usagaji nk mtakataa kwa hizo njaa zenu?
(c). Nawashari:-
Anzisheni miradi ya vitegeuchumi;
Kama CCM ilivyo jifunzeni kujitegemea pasi tembeza kopo la msaada;
Zindukeni!
Msakila Kabende
Kakonko.