Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

Kuna mda hapo juu Katoa wazo la Qatar hao ndio marafiki wa Hamas,
 
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Wao ni Hamas tu wala.watanzania.hawana thamani kwao.
 
Watetezi wa haki za Binadamu na wabaharakati Tanzania mko wapi kudai Hamas waachie Watanzania wenzetu mayowe yenu yako wapi,? Waandishi wa habari mko wapi kuandika kurasa za mbele za magazeti na taarifa za habari kuwa jukwaa la wahariri au vyama vya wanahabari taarifa ya habari ya kwanza kuwa mwatoa wito kwa Hamas waachie Watanzania wetu waliotekwa na Hamas?

Mbona mko kimya kwenye swala zito kama hiki la Watanzania wenzetu?

Tunapiga yowe Jamii Forums peke yetu nyie wengine mko kimya Hebu amkeni.Kila eneo lipige yowe tunataka Watanzania wenzetu waachiwe huru na Hamas

Kila mwenye sauti Tanzania apige yowe Hamas waachie watu wetu iwe mitandao ya kijamii aina zote waungane na Jamii Forums tupige yowe
 
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
huo ni uchochezi unaolenga mateka wachinjwe.

Yaani mtu wa Fatah awaambie watu wa Hamasi wawaachie mateka?

Ni sawa na Chadema kwenda kuwaambia ACT wasishiriki uchaguzi.....
 
huo ni uchochezi unaolenga mateka wachinjwe.

Yaani mtu wa Fatah awaambie watu wa Hamasi wawaachie mateka?

Ni sawa na Chadema kwenda kuwaambia ACT wasishiriki uchaguzi.....
Raia wa nchi nyingine mbona mateka wa Marekani Hamas wanewaachia baada ya Marekani kuwaambia Hamas achieni watu wetu kwa strong voice

Sisi tukiwachekea Hamas watakuwa wanateka watu wetu watanzania kila wakati

Israel kuna Watanzania kibao wanasoma kule vyuo kibao

Huu mchezo wa kuteka watu wetu lazima tuwaambia no please wakiua madhara watakayopata hawatakuja kusahau maishani sababu Tanzania hatuji watetea hata mara moja Palestina na tutaomba maandamano mengine ubalozi wa Palestina ufungwe nchini sababu wauaji waliowaua ni wapalestina waliomo nchini mwao

Tutataka wafunge virago kama serikali yao haiwezi hakikisha usalama wa Watanzania kwao waondoke nchini

Kazi ya serikali ni pamoja na kulinda raia wa nje waliomo nchini kwao
 
Strong voice? Dah wee jama kumbe pwagu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mkuu ulichokiandika mwenyw umekisoma au ukiandika kwenda mbele tu
 
Serikali ya Palestina Chini ya Mahmoud Abas ipo located western bank na Hamas wapo Gaza kama Hufahamu hawa ni Mahasimu. Viongozi wa Palestina ambao wapo Western Bank hawana nguvu yoyote Gaza.
Kuna watu wanajitia wajuzi ila hawafuatilii mambo ni ushabiki tu mkuu.
 
Mihemko isiyo na faida, hao israil wenye vifaa na makombora mazito wenywe watu wao weng waliotekwa pamoja na kushambulia Ghazza Jamaa hawajaachia mateka, ndy waachie kisa YEHODAYA kaandamana na chadem huko TZ kwenda ubalozi wa palestin tena ambao mahasim zao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ acha bandari tuwape waarabu kama akili zetu ndio hizi
 
Hiyo kazi ya Balozi. Sisi tuko na Sukari 3000
 
Tunadai watu wetu watanzania wenzetu hayo mambo yao ya Israel na Hamas hayatuhusu kwenye hili la mateka washikiliwa na Hamas .Tunataka Hamas wawaachie watanzania wenzetu waliowateka na wanaowashikilia

Mambo yao ya Hamas na Israel yao tunataka Hamas waachie Watanzania wenzetu nani ana vifaa nani hana hayatuhusu


Hamas ndio wanasshikilia watanzania wenzetu mateka wawaachie
 
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Chama kipi kwa mfano, nyie mnajua kuandamana kusifia na kutoa pongezi na kuunga mkono mambo ya hovyo, ishu za msingi hamuwezi andamana
 
sawa
 
Humu kuna Wabongo wanasapoti harakati za Hamas, lakini uwezi kusikia wakipinga kitendo cha HAMAS kuteka watanzania. Ukiteka Ndugu zetu tayari wewe ni adui kwetu
Uhakika.
 
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Nakazia๐Ÿ“Œ
Ingawa ingefaa kusema watanzania waandamane (siyo vyama tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ