Kwa hiyo Marekani na wengine kuita wao ni International terrorists kama Alshabab au Alkaeda wako sahihi Kwa hiyo wateke watu wetu halafu tukiwataka watutishie nyau? Haiwezekani
Kuwa unateka raia wa nchi zingine halafu unawatishia nyau wakitaka watu wao waliowateka? Nyoko haiwezekani
Uzuri Tanzania tulishapigana vita na wapalestina tukawateka wengi tu
Walimuunga mkono Idd Amin kwenye vita yetu na Uganda
Idd Amin akaomba msaada Palestina wakaja na silaha zao na wapiganaji wao tuliwateka kibao .Ghadafi akataka waachiwe huru kwa kulipa mamilioni ya Dola hao wapalestina kwa niaba yao waachiwe
Nyerere alitaka kukubali kuwa sawa ni sehemu ya kulipa gharama za vita kaitia hasara Tanzania kanisa katoliki wakamzuia akipowaomba ushauri kuwa hiyo ni biashara ya utumwa asifanye hivyo akasema watakaa wapi wakati vita inaendelea na wao hao wapalestina wanaendelea kupigana vitani?
Kanisa katoliki likakubali kuwachukua hao mateka wa kivita wa kipalestina wakaenda kuhifadhiwa kwenye majengo ya kanisa katoliki nyanda za juu kusini wakila vure na kutunzwa vizuri mno hadi vita ilipoisha wakarudishwa makwao
Hivyo wapalestina sio watu wa kubabaisha Tanzania na makundi yao gaidi
Alkaeda walishajaribu,Tanga,Mwanza, mkuranga ,kibiti Rufiji nk wakiua viongozi wa siasa na polisi ,kusini na pwani nk waliishia kuchinjwa kama kuku wakatorokea Msumbiji na walichijwa kweli kweli bila huruma na vikosi vyetu
Tuandamane tudai watu wetu waachiwe na Hamas bila woga
Hao Hamas wasitubabaishe waachie watu wetu