Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

Na kugomea uchaguzi ni sababu hawana agenda ya kwenda kuwaambia wananchi na wapiga kura. Hivyo, ili wasiaibike wakajifanya wamesusia.
 
Kama chadema haina watu makini, swali: wale mliowanunua kutoka chadema na kuwapa vyeo ( e.g naibu waziri OR-Tamisemi) ni miongoni wa wasiojitambua?
 
Na kugomea uchaguzi ni sababu hawana agenda ya kwenda kuwaambia wananchi na wapiga kura. Hivyo, ili wasiaibike wakajifanya wamesusia.
Kulikuwa na haja gani kuwanyima fomu za kugombea
Kufunga ofisi kupokea fomu
Kusema mmeshinds asilimia 98 huku mkiwa chafulia fomu kwa kujaza uongo

Mungu ana Waona mjue
 
Baada ya kuvifunga mikono na miguu mnategemea vitende miujiza?
 
Hujui usemawewe ni nyumbu
 
Huyu naye ni mwanachama wetu mzuri tu. Hapo alikuwa anachangia kodi ya ujenzi wa nchi yetu kipindi viroba vinaruhusiwa ndio maana hakuogopa kutumia hasharani. Nasikia Mh. Lema kuna anavyotumia amejificha. Ni kweli?
Hiyo ya Lema fungulia thread yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…