Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

Tulikuwa na CHADEMA iliyokuwa strong yenye misingi na agenda zilizogusa mahitaji na kukubalika na watu wengi.

Kiongozi wake akatumia ubabe kumleta Lowasa na kuzika agenda zote zilizoikuza CHADEMA. Wakamtosa Slaa na kuanzisha kampeni ya kumchafua. Lakini wakasahau Dr Slaa ndiye aliyeikuza CHADEMA toka chama cha mfukoni Kama cha Hashim Rungwe hadi kuwa chama kikuu cha upinzani. Kumbuka kura alizopata Mbowe alivyogombea Urais Mara 2!

Chama kikapoteza misingi yote iliyokikuza na kuhamua kuwa chama cha propaganda za kuchafua, kutunga uongo (rejea walivyoshabikia upumbavu wa Kigogo) na kupinga kila kitu kupitia mitandaoni.

Chama kikawa cha tweeter na instagram, tena kisichoeleweka kinasimamia nini.
Na kugomea uchaguzi ni sababu hawana agenda ya kwenda kuwaambia wananchi na wapiga kura. Hivyo, ili wasiaibike wakajifanya wamesusia.
 
Kama chadema haina watu makini, swali: wale mliowanunua kutoka chadema na kuwapa vyeo ( e.g naibu waziri OR-Tamisemi) ni miongoni wa wasiojitambua?
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.

Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.

Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.

Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.

Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.

Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.

Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
 
Na kugomea uchaguzi ni sababu hawana agenda ya kwenda kuwaambia wananchi na wapiga kura. Hivyo, ili wasiaibike wakajifanya wamesusia.
Kulikuwa na haja gani kuwanyima fomu za kugombea
Kufunga ofisi kupokea fomu
Kusema mmeshinds asilimia 98 huku mkiwa chafulia fomu kwa kujaza uongo

Mungu ana Waona mjue
 
Baada ya kuvifunga mikono na miguu mnategemea vitende miujiza?
 
Na huyu ni mwanachama wetu na tunamkubali sana. Post mwingine!
Na wewe si ndiy wale wale mtaji kukata viuno
1572191509192.jpeg
 
Hujui usemawewe ni nyumbu
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.

Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.

Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.

Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.

Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.

Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.

Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
 
Huyu naye ni mwanachama wetu mzuri tu. Hapo alikuwa anachangia kodi ya ujenzi wa nchi yetu kipindi viroba vinaruhusiwa ndio maana hakuogopa kutumia hasharani. Nasikia Mh. Lema kuna anavyotumia amejificha. Ni kweli?
Hiyo ya Lema fungulia thread yake.
 
Back
Top Bottom