mavya
Member
- Dec 24, 2021
- 31
- 58
Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya Matozo.
Niwaombe upinzani toeni kauli la kukemea unyanganyi huu unaofanywa na Serikali ya na waziri wake Mwigulu. 2025 tuko nyuma yenu mpaka sasa tumetambua umuhimu wenu bungeni.