Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm mbele kwa mbele si mliichagua wenyewe, endelea kuisoma namba upinzani wafanye nn?Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya Matozo.
Niwaombe upinzani toeni kauli la kukemea unyanganyi huu unaofanywa na Serikali ya na waziri wake Mwigulu. 2025 tuko nyuma yenu mpaka sasa tumetambua umuhimu wenu bungeni.
Wapo kimya sana hawa wapinzani na ccm Lao ni moja#kwishineiKwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya Matozo.
Niwaombe upinzani toeni kauli la kukemea unyanganyi huu unaofanywa na Serikali ya na waziri wake Mwigulu. 2025 tuko nyuma yenu mpaka sasa tumetambua umuhimu wenu bungeni.
Wapinzani hovyo sanaMimi nacheka kama mazuri kumbe naumia pia, leo tunaomba wapinzani watuteee/kutusemea, hawa jamaa wamesema miaka zaidi ya 20 kwamba CCM haifai, imechoka kuongoza hatujawahi kuwaelewa japo tunawasikia, nafikiri waendelee kunyamaza ili tuminywe vizuri labda akili zitakaa sawa, tutajua thamani ya kura, kanga na kofia.