Kwa sasa hakuna chama cha upinzani Tz , mimi mwenyewe nina plan kurudisha kadi yao huko UFIPA .Acha uzandiki mkuu, wakati wapinzani wanasema ccm na mwendakuzimu hawafai wewe uliwahi kutoa bandiko lolote? Nyie ni sukuma gang tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa hakuna chama cha upinzani Tz , mimi mwenyewe nina plan kurudisha kadi yao huko UFIPA .Acha uzandiki mkuu, wakati wapinzani wanasema ccm na mwendakuzimu hawafai wewe uliwahi kutoa bandiko lolote? Nyie ni sukuma gang tu
Tunapopinga tozo tuje na njia mbadala wa kuongeza mapato ya serikali! Hii ni kwa sababu serikali ina mipango mingi ya maendeleo kwa sasa na yote ni ya muhimu. Labda tuishauri serikali iangalie kama kuna miradi ambayo inaweza kusubiri kidogo maana hili pigo sio la kawaida. Wananchi tuna njaa kali ukiweka tena tozo ni kunyemelea kifo moja kwa moja.
Hakuna chama kinachobeba agenda nzito yenye kubeba matarajio wananchi walio wengi , Taifa halinufaiki na Rasilimali zake pamoja na wananchi wenywewe......Hakuna haja ya kujiita wapinzani, kama ni moja kati ya waoiangusha hii nchi
Magufuli aliwaita wapigania tumbo
Kumtetea mtanzania ni kupoteza muda.Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa...
Basi kama ni hivyo wafute hicho chama ,Kumtetea mtanzania ni kupoteza muda.
Magari ya Kifahari ya nn?? Msafara wa magari ya Kifahari eti kumsindikiza naibu spika ya kazi gani?? Sitaki kuandika mengi kwani unayafahamu.Tunapopinga tozo tuje na njia mbadala wa kuongeza mapato ya serikali! Hii ni kwa sababu serikali ina mipango mingi ya maendeleo kwa sasa na yote ni ya muhimu. Labda tuishauri serikali iangalie kama kuna miradi ambayo inaweza kusubiri kidogo maana hili pigo sio la kawaida. Wananchi tuna njaa kali ukiweka tena tozo ni kunyemelea kifo moja kwa moja.
Unalalamika nini wakati CCM tayari inakutetea wewe dhidi ya tozo, kula bata kijana.Basi kama ni hivyo wafute hicho chama ,
Kwa sababu unataka upewe serikali ili umetetee nani?
Hii inaonyesha nyie ni watetea tumbo
Boss nilikuwa Iringa juzi, nimesimama petrol station kwenye mgahawa wa ASAS kama unapajua iringa, msafara wa Mheshimiwa ulikuwa unapita kila mtu anasikitika kivyake, ule msafara ni balaaaaaa.... ukiona gharama za mamisafara ya viongozi; maisha ya anasa wanyoishi; ndipo utagundua ccm ni zaidi ya mashetani.
Nacho lalamika ni Chadema kujiita Chama Cha UpinzaniUnalalamika nini wakati CCM tayari inakutetea wewe dhidi ya tozo, kula bata kijana.
CCM tayari inakutetea bado unataka na cha kingine kishirikiane na CCM kukutetea! Ridhika na mtetezi mmoja.Basi kama ni hivyo wafute hicho chama ,
Kwa sababu unataka upewe serikali ili umetetee nani?
Hii inaonyesha nyie ni watetea tumbo
Ok, Wapambania tumbo,CCM tayari inakutetea bado unataka na cha kingine kishirikiane na CCM kukutetea! Ridhika na mtetezi mmoja.
Hoja yako ni nini? Au unajifunza kuweka Post.Ok, Wapambania tumbo,
Kumbe makelele yote yale yalikuwa ya njaa
Njaa mbaya sana
Bro unataka kunifundisha ku-commentHoja yako ni nini? Au unajifunza kuweka Post.