Pole sana kama unategemea kutetewa na vyama vya Siasa, wao wenyewe kufanya mikutano ya hadhara wanaogopa wanasubili mpaka waruhusiwe.Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo, TOZO, TOZO. Mpaka mda huu hakuna...
... wanapovamiwa, kuumizwa, kutekwa, kushtakiwa, na hata kudhalilishwa na vyombo vya dola mara ngapi ulishapaza sauti kuwatetea?Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo...
Uko sahihi! Viongozi wa dini ni zamu yao sasa kusimama kuwatetea watanzania maana mara zote hupenda kuwadhihaki wapinzani pale wanaposimama kutetea wananchi hata kwa mambo yaliyo wazi kabisa. Zitto, Mbowe, Mnyika, Lissu, n.k. zamu yenu kukaa kimya maana mnaowatetea hawajielewi.Wapinzani kaeni kimya mpaka hawa nyumbu akili ziwa kae sawa,maana wakitoka kusema jambo wanaitwa pinga pinga na wasio taka maendeleo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha uzandiki mkuu, wakati wapinzani wanasema ccm na mwendakuzimu hawafai wewe uliwahi kutoa bandiko lolote? Nyie ni sukuma gang tuKwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya Matozo.
Niwaombe upinzani toeni kauli la kukemea unyanganyi huu unaofanywa na Serikali ya na waziri wake Mwigulu. 2025 tuko nyuma yenu mpaka sasa tumetambua umuhimu wenu bungeni.
... ukiona gharama za mamisafara ya viongozi; maisha ya anasa wanyoishi; ndipo utagundua ccm ni zaidi ya mashetani.Mimi nacheka kama mazuri kumbe naumia pia, leo tunaomba wapinzani watuteee/kutusemea, hawa jamaa wamesema miaka zaidi ya 20 kwamba CCM haifai, imechoka kuongoza hatujawahi kuwaelewa japo tunawasikia, nafikiri waendelee kunyamaza ili tuminywe vizuri labda akili zitakaa sawa, tutajua thamani ya kura, kanga na kofia.
kwa nini vitoe tamko wakati huu. Hii issue ndiyo karata ya 2025Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo...
Uko sahihi mkuu wakina lissu wamewatetea sana watanzania wapumbavu mpaka wakapigwa risasi kina mbowe wamewatetea sana watanzania majuha mpaka wamefilisiwa na kuharibiwa mali sasa kaeni kimya hawa wapuuzi watanzania wakielewa umuhimu wenu watajifunza ya frenchi revolution.Wapinzani kaeni kimya mpaka hawa nyumbu akili ziwa kae sawa,maana wakitoka kusema jambo wanaitwa pinga pinga na wasio taka maendeleo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna haja ya kujiita wapinzani, kama ni moja kati ya waoiangusha hii nchiWapinzani kaeni kimya mpaka hawa nyumbu akili ziwa kae sawa,maana wakitoka kusema jambo wanaitwa pinga pinga na wasio taka maendeleo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app