Mimi nacheka kama mazuri kumbe naumia pia, leo tunaomba wapinzani watuteee/kutusemea, hawa jamaa wamesema miaka zaidi ya 20 kwamba CCM haifai, imechoka kuongoza hatujawahi kuwaelewa japo tunawasikia, nafikiri waendelee kunyamaza ili tuminywe vizuri labda akili zitakaa sawa, tutajua thamani ya kura, kanga na kofia.