Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

Kuna mtu ndani ya CCM pamoja na phd zake ana ongozwa na Bashite ambaye hata cheti chake cha darasa la saba kimetafunwa na panya upande mmoja.
 
Kupewa nafasi haimaanishi ni bora kuliko wengine , tumia akili wewe.
Kwahiyo kupewa nafasi kunatokana na nini? Wewe mwenyewe inaonekana ulipewa hiyo kazi kwa upendeleo. Huwa hamjifikirishi ndo maana wapinzani wakija wanapewa vyeo. Nyie ni mabogus tu mliozoweya kutafuna kodi zetu toka tupate uhuru! Mnasingizia umaskini wa nchi kumbe nyie ndo matajiri mnaonyonya masikini wa Tanzania. Kiazi wahed.
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Hivi kwenye awamu ya 5 ni waziri yupi unayeweza kusema hapa ametumia akili yake ? ikiwa Magufuli ndiye anatawala wizara zote kwa kuamini anajua kuliko yeyote ni waziri yupi ametumia usomi wake ?
 
Tulishaambiwa "kusoma na kuandika inatosha!" Hakuna sababu za kuweweseka... ikiwa maprofesa na maphd wanaitwa wapumbavu thamani ya elimu iwapi?
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Wasomi wapo tena wengine sio wabunge wataupata ubunge wa kuteuliwa
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Upinzani ni genge la kihuni..hasa chadema
 
Sugu
Lema
Mbowe
Bulaya
Msigwa
Hivi ndio vichwa vinavyotegemewa na chadema kuwa mawaziri na urais
 
Wewe hushangai katika genge lote la wabunge wa ccm karibia 300, JPM alikosa wa kuwapa uwaziri mpaka akawateua akina Kabudi, Mpango na wengine!? Thamani ya wabunge wa ccm iko wapi!?
 
Kwani wanatokea chadema hao?
 
Hivi kwenye awamu ya 5 ni waziri yupi unayeweza kusema hapa ametumia akili yake ? ikiwa Magufuli ndiye anatawala wizara zote kwa kuamini anajua kuliko yeyote ni waziri yupi ametumia usomi wake ?
Inaonyesha hufuatilii kwa nini hata mawaziri wanaondolewa.
 
Kaka inaonekana unaishi nje ya nchi..Kukusaidia tu vyama vya upinzani vina watu wenye sifa zaidi ya uzitakazo na pengine hata kuzidi hata chama tawala na ndio maana Rais ameshindwa kuvumilia na kuamua na kuanza kuteuwa mawaziri kutoka vyama vya upinzani baada ya kutambua kuwa viongozi bora wapo upinzani mifano michache Mollel (Maliasili) na yule Mlevi Waitara (sijui wizara gani kwa sasa)
Kweli nipo nje, unatumia akili sana, asante.
 
Siyo wasomi wote wanaofanya serikalini ni ccm. Labda kulinda ugali tu. Wengi wao wataweza kupewa kazi hata upinzani ukichukuwa nchi.
Nazungumzia mawaziri ambao lazima wawe wabunge wa chama tawala, kwani we hujui hilo?
 
Sifa kuu ya wabunge wa Chadema ni kuongea kwa jazba hayo mengine hayana umuhimu sana.
Sifa kuu ya ukoo wenu ni kukurupuka kama uharo kutokana ukosefu wa akili kichawni.
Kwa taarifa yako CHADEMA ina watu makini na wajenga hoja makini kuliko chama chochote
 
Hivi mnafikiri kwa kutumia *tako au ? Siwaelewi kabisa

Magufuri hao wasomi aliwakuta CCM au alikopa uraiani ili atimize ahadi yake?

Uwaziri hauitaji wasomi bali wabunge ambao ni darasa la saba na wenye miaka zaidi ya 21
Kumbuka hilo

Pia uwaziri si elimu ni uongozi
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Lukuvi ana elimu ipi? Mbona anawaongoza wasomi? Kuchafuliwa kwake, ccm ilikosa wasomi? Na aliyekuambia kuwa uongozi unahitaji elimu kubwa ni nani? Kumbe bado mjinga na unauliza maswali ya kijinga! Mjinga na nusu!
 
Back
Top Bottom