Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

Mbona aliweza kumuiba mama yako pia Ila unalikaushia? Bila kuattack watu personally hufurahii eeh!
Mama yangu sio gari au wewe mwenzetu bi mkubwa wako Ni gari?[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kwenu yanaibiwa magari tu eeh? Hongereni kwa kuwa na magari mengi! Mjinga bado!
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Mkuu pamoja na kujitetea huwezi kwepa kuitwa mjinga! Unajua Lusinde na Msukuma haijulikani hata darasa la 7 walihitimu lakini hawawezisema wameokotwa majalalani!
 
Acha upumbavu, kwani wao ni mawaziri? Wewe ndiyo mjinga wa kutupwa kutokujua baraza la mawaziri ni nini, pumbavu zako.
 
Lukuvi ana elimu ipi? Mbona anawaongoza wasomi? Kuchafuliwa kwake, ccm ilikosa wasomi? Na aliyekuambia kuwa uongozi unahitaji elimu kubwa ni nani? Kumbe bado mjinga na unauliza maswali ya kijinga! Mjinga na nusu!
We mpumbavu hujui mie nazungumzia baraza la mawaziri ambalo lina jenga na wasomi wabunge, mpumbavu unayejifanya kujua.
 
Haya mwenye akili nyingi nakuelewa Sasa. Hilo Baraza la mawaziri huwa linajenga Nini na wasomi wabunge? Labda Kama linajenga choo Cha nyasi kijijini kwenu!
Ati wasomi wabunge! Zinakutosha kichwani au umeamua kujilipua? Pole kwa kulivamia jukwaa na karibu Tena. Mavi ya popo kabisa wewe!
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Wapo, si kina kamanda lema au.
 
Haya mwenye akili nyingi nakuelewa Sasa. Hilo Baraza la mawaziri huwa linajenga Nini na wasomi wabunge? Labda Kama linajenga choo Cha nyasi kijijini kwenu!
Ati wasomi wabunge! Zinakutosha kichwani au umeamua kujilipua? Pole kwa kulivamia jukwaa na karibu Tena. Mavi ya popo kabisa wewe!
Kwa sababu wewe ni mjinga hujui chochote kuhusu serikali na kazi zake basi unaamua wanaojua ni wajinga? Pumba tu wewe, mavi ya kuku utajua nini?
 
Kwahiyo kupewa nafasi kunatokana na nini? Wewe mwenyewe inaonekana ulipewa hiyo kazi kwa upendeleo. Huwa hamjifikirishi ndo maana wapinzani wakija wanapewa vyeo. Nyie ni mabogus tu mliozoweya kutafuna kodi zetu toka tupate uhuru! Mnasingizia umaskini wa nchi kumbe nyie ndo matajiri mnaonyonya masikini wa Tanzania. Kiazi wahed.
Wapo chungu nzima. Tutachukua wengine kutoka vyama vingine vya upinzani na pia kutoka sekta binafsi ambao tutawateua kuwa wabunge.
 
Kwa sababu wewe ni mjinga hujui chochote kuhusu serikali na kazi zake basi unaamua wanaojua ni wajinga? Pumba tu wewe, mavi ya kuku utajua nini?
Upo sahihi Sana Mr. Mjuaji ndio maana upo humu jf kuwafagilia wanaume! Hivi, wewe ni msichana au mama? Maana akili zako zimekaa upande Kama kofia ya tarabushi na huenda Ina stress za kukataliwa na wanaume! Usikate tamaa kwani huyo bobani huenda akakuadd kwenye idadi ya michepuko yake akishinda nafasi ya ubunge! Jitahidi kumpigania na kumshambulia kwa vigelegele! Mavi ya popo wewe!
 
Umezidi kuthibitisha wewe ni mavi ya kuku, mjinga asiyejua chochote ila kutukana, nenda shule kwanza kichwa maji kilicho jaa shahawa!
 
Kama nilivyosema wajuaji ni wapumbavu hawana chochote chenye point ila matusi kama wamelelewa stendi ya basi.
 
Umezidi kuthibitisha wewe ni mavi ya kuku, mjinga asiyejua chochote ila kutukana, nenda shule kwanza kichwa maji kilicho jaa shahawa!
Haya ndio unayoyaweza! Wewe shule uliyokwenda ilikufunza kutukana tu na kuziabudu ccm! Mpumbavu tu wewe usiyeweza kujenga hoja makini zaidi ya matusi ya kipumbavu! Mbona utasanda! Yaani kila ukitia mguu jf utanisoma kwa lazima Hadi unafiki id.
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Kwani baraza lina ukubwa gani? Hicho chama chenye wabunge wasomi mbona kila siku wanatumbuliwa? Kwa taarifa yako huko unakohisi kuna wasomi wa kuwa mawaziri hakuna lolote kiasi kwamba rais anatumia zile nafasi zake 10 kuteua wabunge ili apate mawaziri
 
wapinzani walipinga ujenzi wa ukuta ambao sote tumeona mafaniikio yake.

walikuwa wakipinga uboreshwaji wa mikataba ya madini, sote tumeona manufaa ya Barick Gold/ Accacia tena mtia nia wa Urais akadiriki kututisha kuwa tukijaribu kuwagusa tutajikuta MIGA.
Yeye alikuwa anataadharisha tu maana kuna nchi ya kusadikika waziri wake alikamata meli ya fish ila kilichotokea baadae kila mtu anajua
 
Back
Top Bottom