Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Kwani hao mawaziri kivuli waliopo wana shida gani wakiwa mawaziri kamili
 
Lukuvi ana elimu ipi? Mbona anawaongoza wasomi? Kuchafuliwa kwake, ccm ilikosa wasomi? Na aliyekuambia kuwa uongozi unahitaji elimu kubwa ni nani? Kumbe bado mjinga na unauliza maswali ya kijinga! Mjinga na nusu!
Upinzani 3 ccm2
 
Kwani baraza lina ukubwa gani? Hicho chama chenye wabunge wasomi mbona kila siku wanatumbuliwa? Kwa taarifa yako huko unakohisi kuna wasomi wa kuwa mawaziri hakuna lolote kiasi kwamba rais anatumia zile nafasi zake 10 kuteua wabunge ili apate mawaziri
Nimepata jibu, kuna mawaziri vivuli wasomi.
 
Haya ndio unayoyaweza! Wewe shule uliyokwenda ilikufunza kutukana tu na kuziabudu ccm! Mpumbavu tu wewe usiyeweza kujenga hoja makini zaidi ya matusi ya kipumbavu! Mbona utasanda! Yaani kila ukitia mguu jf utanisoma kwa lazima Hadi unafiki id.
Acha upumbavu wako, nani aliyeanza kutukana kama sio wewe? Au una psychosis? By the way nimeshapewa jibu na wenye akili, wapo mawaziri vivuli wasomi, lakini kichwa maji wewe hujui hilo na kujifanya unajua sana kumbe pumba tu. Mie sio CCM wala chama chochote ila naipenda nchi yangu na ninataka iwe na viongozi imara.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ndio mpishi, Waziri ni mgawa chakula. Sera, mipango n.k inapangwa na Katibu Mkuu. Waziri anatekeleza.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.

Kuwa mwanasiasa au kiongozi wa kisiasa huhitaji elimu, ilmradi ujue kusoma na kuandika na pia ujue kupiga mdomo - propaganda.
 
Nimepata jibu wapo mawaziri vivuli wasomi, sababu nchi inayoongozwa na wasiosoma haifiki popote, ndiyo maana mawaziri ni wasomi wanaojua yote kuhusu wizara zao, au wenye uwezo wa kujifunza yote ili kusimamia kazi zote za kitaaluma.
 
Acha upumbavu wako, nani aliyeanza kutukana kama sio wewe? Au una psychosis? By the way nimeshapewa jibu na wenye akili, wapo mawaziri vivuli wasomi, lakini kichwa maji wewe hujui hilo na kujifanya unajua sana kumbe pumba tu. Mie sio CCM wala chama chochote ila naipenda nchi yangu na ninataka iwe na viongozi imara.
Unajishau tu Kama dadapoa wa buza, huna unalojua! Ukiendelea kuandika upumbavu nitakuwasha tu hakuna namna! Sijakuuliza itikadi yako, acha kujipendekeza na kuomba msamaha kisanii! Hiyo psychosis hujui hata maana yake acha utoto wa shule bwege wewe!
 
Psychotic doesn't even know what he is talking about, hujui chochote fala fulani tu wewe, rudi shule kichwa maji we.
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Baada ya Miaka 60 nchi ndo imeingia uchumi wa chini Kati je ccm Ina wasomi wakuongoza nchi?

Nauliza tu!
 
Back
Top Bottom