Vyombo vya dola vimeipora Ikulu kutoka kwa wananchi

Yeah mkuu,facts lazima zibakie hivyo, uoga gani uliompata mpangaji mkuu wa magogoni kuamua kuifunga ile barabara mbele ya ikulu?,mimi ninayetoka kinondoni kwenda ferry lazima nifanye twist n turn kuifikia ferry, kisa dikiteta mmoja kaamua ya kuamua!!,wote tutakufa tu
Wanajua kuwa wanatufanyia ufisadi mwingi. Wana allergy dhidi ya raia ndo maana mabunduki na midubwasha ya kuulia watu wanatembea nayo kuwalinda.
 
Sasa si uende uingie ndugu kuliko kulialia hapa!! Mbona mnatetea mada za kijinga namna hii?

Hivi hamjui kuwa baada ya Septermber 11, security ya nchi na viongizi wa dunia ilibadilika by 360°?
Acha upumbavu huu, white house bado kunaingilika,union building hakuna shida,Zambian president msafara wake hauzidi 4 cars!!,udikiteta ndio unawasumbua na wapumbavu kama wewe
 
Wanajua kuwa wanatufanyia ufisadi mwingi. Wana allergy dhidi ya raia ndo maana mabunduki na midubwasha ya kuulia watu wanatembea nayo kuwalinda.
It's craze mkuu, President Nyerere ametutawala kipindi kigumu sana,kuanzia kwa makaburu, cold war, coups za wanajeshi but ile njia ilikua wazi wananchi waliruhusiwa kupunga upepo pale, na motor cade yake ilikua chini ya gari 4(including traffic),na tiss yake ili EARN RESPECT, sip KULAZIMISHA RESPECT
 
Kwa hali hii Soko la samaki ferry litahamishwa soon
 
Nikiwasalimu itikieni

Enzi za Mwalimu, Ikulu ya Dar ilikuwa na uzio wa michongoma na maua sambamba na uzio wa wavu eneo lenye wanyamapori wanaofugwa Ikulu. Enzi hizo tuliweza kuona uzuri na umaridadi wa Ikulu yetu. Wapita njia hususan wageni waliweza kutembea pembeni ya uzio wa Ikulu bila kusumbuliwa

Alipokuja mzee Mwinyi alijenga ukuta kuzunguka ikulu, lakini haukuwa ukuta wa kumnyima mpitanjia kujionea umaridadi wa jengo letu linaloendeshwa na kutunzwa na kodi zetu.

Alikuja mzee Mkapa ambaye hakukuwa na heka heka nyingi bali aliruhusu wapitanjia kutembea pembezoni mwa uzio huku wakijionea ufahari wa Ikulu yetu.

Ukarabati mkubwa wa Ikulu (badala ya kuanza ujenzi wa Dodoma) ulifanyika chini ya Jakaya, tukaanza kuona mabadiluko machache, upande wa barabara ya Barack Obama ilianza kufungwa usiku kuzuia magari kupita. Lakini wapitanjia waliruhusiwa kupita. Upande wa Wanyama wanaofugwa Ikulu ukawekwa Uzio kuziba wanyama wasionekane na wapitanjia. Tulianza kupata mashaka labda wameuzwa kwa sababu wale wanyama walipungua sana kabla hakujazibwa kabisa wasionekane....

Kasheshe alipokuja mpendwa wetu JPM, barabara ya Barack Obama ikafungwa kabisa hakuna raia kupita, na hata wapita njia walizuiwa, kibaya zaidi hadi sasa raia anayetembea nje ya ukuta wa Ikulu anashughulikiwa kikatili na wale walinzi waliovaa makirikiri. Hali hii imedumu hadi kwa rais wa sasa. Tunachojiuliza Watanzania kadhaa ni kwamba, kuna tishio gani la usalama kiasi ya kuwekwa makatazo hayo? Au kuna biashara gani zinaendelea Ikulu kiasi kwamba wapitanjia wanaweza kuiba siri?

Inaonesha kuwa Serikali imeweka alert dhidi ya raia wake na haina imani nao na kibaya zaidi, vyombo vya dola vimejimilikisha jengo na mandhari ya Ikulu huku vikijua wazi kabisa kuwa ile ni kodi za wananchi.

Kama endapo lengo ni ulinzi. Watafakari uwezo wao wa kulinda lile jengo bila kujenga hofu kwa wapitanjia .

Lakini, kitu muhimu ni kwamba, kadiri wanavyoiweka Ikulu mbali na wananchi ndivyo wwnavyomjengea mazingira magumu sana mkazi namba moja pale Ikulu hadi kupelekea kupoteza umaarufu. Kusimika mabango na public mentioning ya rais ni utamaduni uliobuniwa kuhakikisha anapata umaarufu wa LAZIMA badala ya kufanya mambo ya msingi zaidi.

Natoa rai kwa wwhusika, wasipore ama kuitenganisha Ikulu na Tanzania. Kama wanaona ni muhimu kufanya hivyo basi wabuni miradi ya uwekezaji ya kuiendesha Ikulu na wasitegemee kodi zetu.

Jambo la kuzingatia. Ikulu ya Chamwino ina privacy nzuri na maridhawa kwa rais, itoshe kwa yeye kufanyiakazi na kuishi kule na aruhusu barabara zilizokuwa zinapitika zamani kuelekea na kutoka Kivukoni kutumika.
Okay
 
Marekani penyewe waliposhambuliwa hiyo Sept 11, hamna uzio Hadi Leo,

Ninyi ndio walinzi mnaozuga lindoni Kwa mkwara mkali boss akiwa hajalala,ikifika mida flani usiku mzito, mnarudi kulala Kwa wake zenu!!
Hehehee
 
rudi hapa unataka kimbia wap!!!!!
hadhi ndio nini, jambo muhimu kama hili unaliacha ivi ivi, toa hoja,sawa?

jenga hoja, toa uzoefu, shirikisha mawazo mbadala watu wachote na kuongeza maarifa na kubadili fikra
Wenyewe wana usalama wameamua usipite mitaa ile. Inatosha Jifunze KuTii Bila Shurti
 
Marekani penyewe waliposhambuliwa hiyo Sept 11, hamna uzio Hadi Leo,

Ninyi ndio walinzi mnaozuga lindoni Kwa mkwara mkali boss akiwa hajalala,ikifika mida flani usiku mzito, mnarudi kulala Kwa wake zenu!!
Kubadilika kwa ulinzi haihuhu pale WTC wewe pimbi!! Inauhusu tahadhari zote za entrance kwenye vyombo vya usafiri kama ndege na meli, kuingia kwenye majumba, ukaguzi wa vilipuzi na udhibiti wa utakatushaji fedha ( money laundering)
 
Acha upumbavu huu, white house bado kunaingilika,union building hakuna shida,Zambian president msafara wake hauzidi 4 cars!!,udikiteta ndio unawasumbua na wapumbavu kama wewe
Niwekee picha yako ukiwa White House na Joe Biden. Wewe pimbi unaota ndoto tu kuwa uko WHITE HOUSE, nakutahadharisha tu kuwa ikifika muda unajisikia kwenda chooni, AMKA kinyume chake utakata gogo kitandani kwako
 
Nikiwasalimu itikieni

Enzi za Mwalimu, Ikulu ya Dar ilikuwa na uzio wa michongoma na maua sambamba na uzio wa wavu eneo lenye wanyamapori wanaofugwa Ikulu. Enzi hizo tuliweza kuona uzuri na umaridadi wa Ikulu yetu. Wapita njia hususan wageni waliweza kutembea pembeni ya uzio wa Ikulu bila kusumbuliwa

Alipokuja mzee Mwinyi alijenga ukuta kuzunguka ikulu, lakini haukuwa ukuta wa kumnyima mpitanjia kujionea umaridadi wa jengo letu linaloendeshwa na kutunzwa na kodi zetu.

Alikuja mzee Mkapa ambaye hakukuwa na heka heka nyingi bali aliruhusu wapitanjia kutembea pembezoni mwa uzio huku wakijionea ufahari wa Ikulu yetu.

Ukarabati mkubwa wa Ikulu (badala ya kuanza ujenzi wa Dodoma) ulifanyika chini ya Jakaya, tukaanza kuona mabadiluko machache, upande wa barabara ya Barack Obama ilianza kufungwa usiku kuzuia magari kupita. Lakini wapitanjia waliruhusiwa kupita. Upande wa Wanyama wanaofugwa Ikulu ukawekwa Uzio kuziba wanyama wasionekane na wapitanjia. Tulianza kupata mashaka labda wameuzwa kwa sababu wale wanyama walipungua sana kabla hakujazibwa kabisa wasionekane....

Kasheshe alipokuja mpendwa wetu JPM, barabara ya Barack Obama ikafungwa kabisa hakuna raia kupita, na hata wapita njia walizuiwa, kibaya zaidi hadi sasa raia anayetembea nje ya ukuta wa Ikulu anashughulikiwa kikatili na wale walinzi waliovaa makirikiri. Hali hii imedumu hadi kwa rais wa sasa. Tunachojiuliza Watanzania kadhaa ni kwamba, kuna tishio gani la usalama kiasi ya kuwekwa makatazo hayo? Au kuna biashara gani zinaendelea Ikulu kiasi kwamba wapitanjia wanaweza kuiba siri?

Inaonesha kuwa Serikali imeweka alert dhidi ya raia wake na haina imani nao na kibaya zaidi, vyombo vya dola vimejimilikisha jengo na mandhari ya Ikulu huku vikijua wazi kabisa kuwa ile ni kodi za wananchi.

Kama endapo lengo ni ulinzi. Watafakari uwezo wao wa kulinda lile jengo bila kujenga hofu kwa wapitanjia .

Lakini, kitu muhimu ni kwamba, kadiri wanavyoiweka Ikulu mbali na wananchi ndivyo wwnavyomjengea mazingira magumu sana mkazi namba moja pale Ikulu hadi kupelekea kupoteza umaarufu. Kusimika mabango na public mentioning ya rais ni utamaduni uliobuniwa kuhakikisha anapata umaarufu wa LAZIMA badala ya kufanya mambo ya msingi zaidi.

Natoa rai kwa wwhusika, wasipore ama kuitenganisha Ikulu na Tanzania. Kama wanaona ni muhimu kufanya hivyo basi wabuni miradi ya uwekezaji ya kuiendesha Ikulu na wasitegemee kodi zetu.

Jambo la kuzingatia. Ikulu ya Chamwino ina privacy nzuri na maridhawa kwa rais, itoshe kwa yeye kufanyiakazi na kuishi kule na aruhusu barabara zilizokuwa zinapitika zamani kuelekea na kutoka Kivukoni kutumika.

Vyombo vya dola havija ipora ikulu, wananchi wameacha wajibu wao na kujisahau
 
Kuna wanaosingizia (mfano ni huyu Stuxnet) kuwa ni kwa sababu ya matukio ya September 11 huko USA na Kenya na kwingineko huko duniani..

Lakini huo sio ukweli mkuu...

Ukweli wenyewe ni kuwa wengi wa viongozi wa Kiafrika ni waovu, wezi na wauaji na kwa sababu ya dhambi za uovu wao huu, daima wanakuwa wanawindwa na hofu zao wenyewe tokana na ubaya waliowatendea wengine muda wote wakiona ndani ya nafsi zao kuwa wanafukuzwa au wanakimbizwa na mlipiza kisasi ili naye awaue kama Biblia - Neno la Mungu linavyosema;

Mithali 28:1 SUV
"......Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba...."

Wao hudhani na hujiona muda wote mlipiza kisasi anawafukuza ili awalipe sawasawa na matendo yao na kwa sababu hiyo hujaribu kujihami na kujikinga kwa kujijengea ngome ndefu za kuta kujilinda wasije wakalipwa na sawasawa na matendo yao..

Na kwa sababu hii pia, viongozi hawa huwa wanakuwa hawana imani na kila mwananchi anayepita karibu na makazi yao wakifikiri atakuwa ni mtu mbaya tu anayetafuta kuwadhuru..!

Ukweli ni kuwa dhamiri na nafsi zao za ukatili wa kutendea wananchi wao ubaya na kunyima haki ndizo zinazowawinda usiku na mchana ziwadhuru...

Huyu adui yao hazuiwi na kuta ndefu ikifika wakati wa kulipa kisasi. Jibu la salama yao ni kutubu makosa yao na kuacha kuumiza watu wengine!!
 
Niwekee picha yako ukiwa White House na Joe Biden. Wewe pimbi unaota ndoto tu kuwa uko WHITE HOUSE, nakutahadharisha tu kuwa ikifika muda unajisikia kwenda chooni, AMKA kinyume chake utakata gogo kitandani kwako
Kumjibu mpumbavu kama wewe siwezi, mpangaji mkuu wa magogoni hana haki ya kuzuia ile sehemu ,na anasaidiwa na wapumbavu kama wewe
 
Back
Top Bottom