Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
“Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama,” alisema kwa ukali mbele ya waandishi wa habari.
Heche ni wa hivyo sana.Kila mtu kila taasi na kila chombo Cha habari ni adui kwa CHADEMA.VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.
Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.
Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Wala hajataka vyombo vya habari viipendelee cdm. Bali ameviumbua vyombo vya habari kuripoti jambo kishabiki na akaweka ukweli ni upi kwa data. Ni kama kaviumbua vyombo vya habari, na wala hakuwa anataka huruma yao.Vyombo vya habari havina wajibu wa kuipendelea CHADEMA.
Hata kanuni ya neutrality kwenye habari kimsingi ni mazingaombwe tu, waandishi wa habari wana ajenda zao na vyombo vya habari vina pande zao.
In fact CHADEMA wanatakiwa kuwa na vyombo vyao vya habari vya kueneza ajenda zao.
Yeye kaonyesha kwa ushahidi uhovyo wa vyombo vya habari tena kwa data. Kupitia taarifa yenye ukweli ndio tumeona upuuzi wa vyombo vya habari.Heche ni wa hivyo sana.Kila mtu kila taasi na kila chombo Cha habari ni adui kwa CHADEMA.
Hakuna popote aliposema vyombo vya habari vinaua cdm, bali amesema vyombo vya habari vinaripoti kama cdm inakufa, na akaonyesha ni jinsi gani cdm haifi kwa data, kinyume na namna vyombo vya habari vinavyotaka kupotosha. Ww mleta mada usitake kupotosha kama hatujaelewa alichosema Heche.VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.
Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.
Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Pia wanapaswa kuwa na ilani bora inayoonyesha mwelekeo wa Tanzania yetu kisiasa na kiuchumi kwa miaka kadhaa sio upumbuvu wao wa haki haki haki, duniani hakujawahi kuwa na haki full stop.Vyombo vya habari havina wajibu wa kuipendelea CHADEMA.
Hata kanuni ya neutrality kwenye habari kimsingi ni mazingaombwe tu, waandishi wa habari wana ajenda zao na vyombo vya habari vina pande zao.
In fact CHADEMA wanatakiwa kuwa na vyombo vyao vya habari vya kueneza ajenda zao.
Makamu anajipa hofu ya bure tu,NO REFORMS NO ELECTION ni zaidi ya wahamajiVYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.
Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.
Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Chombo cha habari ni biasharaVyombo vya habari havina wajibu wa kuipendelea CHADEMA.
Hata kanuni ya neutrality kwenye habari kimsingi ni mazingaombwe tu, waandishi wa habari wana ajenda zao na vyombo vya habari vina pande zao.
In fact CHADEMA wanatakiwa kuwa na vyombo vyao vya habari vya kueneza ajenda zao.
CHADEMA Lipeni mnataka watangaze habari zenu bure wakati mnapata ruzuku na pesa za tonetone? Wawatangaze bure kwa gharama ya nani ya gharama za uendeshaji?Yeye kaonyesha kwa ushahidi uhovyo wa vyombo vya habari tena kwa data. Kupitia taarifa yenye ukweli ndio tumeona upuuzi wa vyombo vya habari.
Kauli dhaifu sana. Kumbe CHADEMA inakufa? Si alisema iko strong? Ndiyo tujue uwezo wa kiongozi ni pamoja na kujua aongee nini katika mazingira magumu. Hapa amekiri CHADEMA iko ICU.🙏🙏🙏VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.
Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.
Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Mlisema CHADEMA iko ndani ya mioyo ya watu haifi .Sasa vyombo vya habari vinauaje chama kilicho ndani ya moyo wa mtu?VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Mkuu nimesiliza speech yote, sijaona popote heche amesema vyombo vya habari vinaiua chadema.... unless ni intepretation yakoVYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.
Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.
Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Hatutaki watangaze habari zetu, maana habari zetu zinajitangaza zenyewe. Wasitangaze kiupotoshaji. Na wakitangaza kiupotoshaji ndio ukweli utawekwa hadharani.CHADEMA Lipeni mnataka watangaze habari zenu bure wakati mnapata ruzuku na pesa za tonetone? Wawatangaze bure kwa gharama ya nani ya gharama za uendeshaji?
Kw akuanzia na heading ya thread ni kama hataki vyombo vya habari kuripoti habari za watu wanaohama CHADEMA.Wala hajataka vyombo vya habari viipendelee cdm. Bali ameviumbua vyombo vya habari kuripoti jambo kishabiki na akaweka ukweli ni upi kwa data. Ni kama kaviumbua vyombo vya habari, na wala hakuwa anataka huruma yao.
Yuko kiupotoshaji, Heche ameonyesha ni kwa jinsi gani tuna vyombo vya habari vilivyopoteza weledi.Mkuu nimesiliza speech yote, sijaona popote heche amesema vyombo vya habari vinaiua chadema.... unless ni intepretation yako
Haki ni kitu cha msingi, usiidogoshe hoja ya haki.Pia wanapaswa kuwa na ilani bora inayoonyesha mwelekeo wa Tanzania yetu kisiasa na kiuchumi kwa miaka kadhaa sio upumbuvu wao wa haki haki haki, duniani hakujawahi kuwa na haki full stop.