Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

Ina wabunge wangapi kwenye Bunge linaloisha? Inashiriki Uchaguzi Mkuu ujao?
Cdm haijivunii kuwa na mbunge kwenye bunge kibogoyo. Na haiko tayari kuendelea kushiriki hizo chaguzi za kishenzi. Yaani umeongea kama hizi chaguzi za kipuuuzi ni kitu watu wana wivu nacho sana. Ni hivi, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Cdm inakuwaje sehemu ya ujinga huo?
 
Vyombo vya habari havina wajibu wa kuipendelea CHADEMA.

Hata kanuni ya neutrality kwenye habari kimsingi ni mazingaombwe tu, waandishi wa habari wana ajenda zao na vyombo vya habari vina pande zao.

In fact CHADEMA wanatakiwa kuwa na vyombo vyao vya habari vya kueneza ajenda zao.
Kwani magazeti yenu yameenda wapi? Kila kitu ni kulalamika TU. Upuuzu kabisa, ndiyo maana Chadema wanaposhindwa uchaguzi wowote. Wao wanadai kuibiwa, akili za ajabu kweli kweli. Kwa akili hovyo hizo Bora hata msishiriki uchaguzi.
 
VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.

Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.

Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Viongozi kazeni buti wala havitaweza kuia chadema tegemeo pekee la wananchi.Kuhama kwao ni mpango wa Mungu ili chama kibaki na mioyo inayosomana na wananchi
 
Kwani magazeti yenu yameenda wapi? Kila kitu ni kulalamika TU. Upuuzu kabisa, ndiyo maana Chadema wanaposhindwa uchaguzi wowote. Wao wanadai kuibiwa, akili za ajabu kweli kweli. Kwa akili hovyo hizo Bora hata msishiriki uchaguzi.
Unaposema "magazeti yenu" unakusudia yenu nani?

Unaponiambia bora hata msoshiriki uchaguzi unamkusudia nani?

Jifunze kusoma kwa ufahamu.

Mimi sina chama, usikurupuke.
 
Heche una Nini?

Karibu kuhesabu maneno yako kabla ya tutamka!

Sasa ndo nn umeongea!

Yaani umma unaokufuata nchi nzima wakiona tumaini CDM Leo unawaambiaje?
 
Haki ni kitu cha msingi, usiidogoshe hoja ya haki.

Ukipuuza haki hata huo uchumi huwezi kujenga.
Mkubwa hata hiyo haki ina mipaka, vipi haki ya kuoana jinsia moja unabariki?!, Ukichukua ilani ya CCM ma CHADEMA ni mbingu na ardhi kwangu mimi huo ndo mkataba kati ya serikali itakayoingia madarakani na wananchi wake..
 
Watu wa jinsia moja wakiamua kuoana wenyewe wewe una haki gani ya kuwakataza?

Wewe unavyoamua kuoa mtu wa jinsia tofauti, wakikulazimisha uoe mtu wa jinsia yako, utakubali?
 
Mipaka yako ya haki iko wapi?
 
VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.

Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.

Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Mleta mada nawe ni sehemu ya wapotoshaji wa kusudi kuhusu Chadema.
 
CHADEMA Lipeni mnataka watangaze habari zenu bure wakati mnapata ruzuku na pesa za tonetone? Wawatangaze bure kwa gharama ya nani ya gharama za uendeshaji?
Habari inatskiwa iwe ya pande mbili na siyo upande mmoja, ikiwa ya upande mmoja ina nia mbaya.
 
Mipaka ya haki yangu inaishia haki ya mwingine inapoanzia. Mipaka ya haki yako pia inaishia haki ya mwingine inapoanzia.
Ingekuwa hivi Mataifa ya hii dunia yasinge bariki uwepo wa utawala wa sheria..unayoiona ni haki kwako inaweza kuwa ni athari hasi kwa mwingine kwa hiyo kama Taifa ni lazima mkubaliane hili ni haki na hili si haki na atayekiuka aadhibiwe accordingly.
 
Haki haitegemei mataifa yanafanya au hayafanyi nini.

Haki haitegemei makubaliano.

Haki ni haki, iko pale pale.Bila kujali kinachofanywa au kisichofanywa.

Unachanganya haki na matendo ya mataifa.

Hayo ni mambo mawili tofauti.
 
Dokta alipokuja naamini ulitulia maana Heche anawavuruga vichaa wenzake badly!😁😁😁
Heche hakuteua jitu lililooza huko nje na sasa linapiga picha za ufisadi na nyaraka hadi jitu kuu linapiga uke lele.
 
Back
Top Bottom