Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Hata Roma wakati inasambaratika viongozi na chawa wa viongozi hawakukubali hadi iliposambaratika kabisa. Time will tell.Yaani hapa ndio umejiona unajua kupindisha maana. Naona kila mwanaccm anatamani cdm ijione inakufa kwa kugomea uchaguzi wa kuhuni. Hilo mtasubiri sana.
CCM wanamiliki TBCVyombo vya habari havina wajibu wa kuipendelea CHADEMA.
Hata kanuni ya neutrality kwenye habari kimsingi ni mazingaombwe tu, waandishi wa habari wana ajenda zao na vyombo vya habari vina pande zao.
In fact CHADEMA wanatakiwa kuwa na vyombo vyao vya habari vya kueneza ajenda zao.
Chadema tangazeni wanaohamia. Naona nanyi sasa mnatangaza wanaohama tuu.VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu mustakabali wa CHADEMA kwa kuegemea kuripoti habari za wanachama wanaohama tu.
Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.
Katika siasa za Tanzania leo, ambapo taarifa huenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na televisheni, ujumbe wa Heche unaashiria kulinda taswira ya chama chake na kuhimiza uwiano wa kihabari.
Hiyo cdm tuliambiwa inasambaratika hata wakati wa watu kwenda kuunga juhudi, na hadi leo ipo. Itakuwa hii ya hawa wachache walioshindwa na kuanza nongwa?Hata Roma wakati inasambaratika viongozi na chawa wa viongozi hawakukubali hadi iliposambaratika kabisa. Time will tell.
Cdm ina mvuto automatically haihitaji promo za wahamiaji. Ifahamike kuhamia kama una biashara zako ni kutafura kutekwa, ama kuhujumiwa biashara zako. Tunataka uchaguzi wa haki tu maana kura ni siri kisha uje utoe mrejesho.Chadema tangazeni wanaohamia. Naona nanyi sasa mnatangaza wanaohama tuu.
Acha tuhamie kimyakimya tusubiri uchaguzi 2030.Cdm ina mvuto automatically haihitaji promo za wahamiaji. Ifahamike kuhamia kama una biashara zako ni kutafura kutekwa, ama kuhujumiwa biashara zako. Tunataka uchaguzi wa haki tu maana kura ni siri kisha uje utoe mrejesho.
2030 karibu, tutasubiri hata 2050, lakini hatushiriki chaguzi za kipuuzi.Acha tuhamie kimyakimya tusubiri uchaguzi 2030.
Naona tuandike wosia kabisa, 2050 nikiwa hai nitakuwa kikongwe kabisa, sijui mwenzangu labda bado teen-ager.2030 karibu, tutasubiri hata 2050, lakini hatushiriki chaguzi za kipuuzi.
Naona tuandike wosia kabisa, 2050 nikiwa hai nitakuwa kikongwe kabisa, sijui mwenzangu labda bado teen-ager.
Inaonekana hilo neno 'propaganda', unapenda sana kulitumia; una uhakika unajuwa maana yake halisi?Kauli hii imeibua mjadala mpana kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kuchangia ustawi wa demokrasia. Kwa mtazamo wa kitaalamu wa propaganda, Heche amejaribu kuibua huruma ya umma kwa chama chake kwa kuonyesha kuwa vyombo vya habari vinachagua upande wa kupotosha hadhira badala ya kuangazia pia mafanikio na misimamo ya msingi ya chama.
Nimesikia nesi akipiga kelele,dokta..dokta wahi huyu mgonjwa anavuruga vichaa wenzake...Kauli dhaifu sana. Kumbe CHADEMA inakufa? Si alisema iko strong? Ndiyo tujue uwezo wa kiongozi ni pamoja na kujua aongee nini katika mazingira magumu. Hapa amekiri CHADEMA iko ICU.🙏🙏🙏
Ina wabunge wangapi kwenye Bunge linaloisha? Inashiriki Uchaguzi Mkuu ujao?Hiyo cdm tuliambiwa inasambaratika hata wakati wa watu kwenda kuunga juhudi, na hadi leo ipo. Itakuwa hii ya hawa wachache walioshindwa na kuanza nongwa?
Nitajie ni TV station gani imerusha live au hata kuonesha kwenye taarifa ya habari mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION kama wanavyo rusha mikutano ya makala na chimpanzee ili ujishindie dunia iwe yako yote. Fanya hivyo chap ushindi ni wako.Heche ni wa hivyo sana.Kila mtu kila taasi na kila chombo Cha habari ni adui kwa CHADEMA.
Unauliza swali ambalo jibu lake unalijua kabisaIna wabunge wangapi kwenye Bunge linaloisha? Inashiriki Uchaguzi Mkuu ujao?