Vyombo vya Habari vinavyokubali kutumika ni vema vikaitathmini video hii

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa Vyombo vya Habari wenye vichwa vigumu kuelewa, endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.

Your browser is not able to display this video.
 
Aisee..

Watu mnajua kufukunyua, siyo mchezo.

Na Jiwe sijui atajitetea kwa mangapi. Maana akigeuka kushoto anakula mkwaju, akijaribu kugeuka kulia anakula mpini, na akigeuka nyuma anakula nyundo na mbele anakutana na moto wa gesi!

Mwaka huu ni lazima na ni zamu yao kuanza kuzisoma namba kwa nyuma huku wakitimuliw vumbi na wakati huohuo wakiuona upande mwingine wa shilingi wa maisha ya siasa.....!
 
Kampeni zikianza ndipo atayajua mapungufu yake mengi atafahamu kuwa wananchi hawapendezwi na mbinu zake
 
Kampeni zikianza ndipo atayajua mapungufu yake mengi atafahamu kuwa wananchi hawapendezwi na mbinu zake

Hakika, na iwe hivyo.

Kiboko yake ni Tundu Lissu.

Mpaka dakika hii inaonekana kila mbinu ya kisheria ya kumuengua asigombee imegonga mwamba.

100% uchaguzi huu ni Tundu Lissu vs Magufuli "mwoga" asiyejiamini.
 
Hakika, na iwe hivyo...

Kiboko yake ni Tundu Lissu...

Mpaka dakika hii inaonekana kila mbinu ya kisheria ya kumuengua asigombee imegonga mwamba...

100% uchaguzi huu ni Tundu Lissu vs Magufuli "mwoga" asiyejiamini...
Msaliti wa nchi yetu hapati kitu tunawasubiri barabarani si amesema akishindwa atawaingiza barabarani ili mgongwe na bodaboda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…