Vyombo vya Habari vinavyokubali kutumika ni vema vikaitathmini video hii

Vyombo vya Habari vinavyokubali kutumika ni vema vikaitathmini video hii

Aisee..

Watu mnajua kufukunyua, siyo mchezo.

Na Jiwe sijui atajitetea kwa mangapi. Maana akigeuka kushoto anakula mkwaju, akijaribu kugeuka kulia anakula mpini, na akigeuka nyuma anakula nyundo na mbele anakutana na moto wa gesi!

Mwaka huu ni lazima na ni zamu yao kuanza kuzisoma namba kwa nyuma huku wakitimuliw vumbi na wakati huohuo wakiuona upande mwingine wa shilingi wa maisha ya siasa.....!
 
Aisee..

Watu mnajua kufukunyua, siyo mchezo...

Na Jiwe sijui atajitetea kwa mangapi. Maana akigeuka kushoto anakula mkwaju, ajaribu kugeukia kulia anakula mpini, na akigeuka nyuma anakula nyundo na mbele anakutana na moto wa gesi...!

Mwaka huu ni lazima na ni zamu kuisoma Namba na kuuona upande mwingine wa shilingi...!!
Kampeni zikianza ndipo atayajua mapungufu yake mengi atafahamu kuwa wananchi hawapendezwi na mbinu zake
 
Kampeni zikianza ndipo atayajua mapungufu yake mengi atafahamu kuwa wananchi hawapendezwi na mbinu zake

Hakika, na iwe hivyo.

Kiboko yake ni Tundu Lissu.

Mpaka dakika hii inaonekana kila mbinu ya kisheria ya kumuengua asigombee imegonga mwamba.

100% uchaguzi huu ni Tundu Lissu vs Magufuli "mwoga" asiyejiamini.
 
Hakika, na iwe hivyo...

Kiboko yake ni Tundu Lissu...

Mpaka dakika hii inaonekana kila mbinu ya kisheria ya kumuengua asigombee imegonga mwamba...

100% uchaguzi huu ni Tundu Lissu vs Magufuli "mwoga" asiyejiamini...
Msaliti wa nchi yetu hapati kitu tunawasubiri barabarani si amesema akishindwa atawaingiza barabarani ili mgongwe na bodaboda?
 
Back
Top Bottom