Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki.
Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa harakati ya Hamas imechagua "mtu hatari zaidi kuiongoza," hasa kwa vile Israel inamtambua Sinwar kuwa mhandisi wa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa Oktoba 7 mwaka jana, ambayo ilitoa kipigo kikubwa kwa jeshi la utawala huo, na kuchafua taswira ya idara zake za kijasusi na kiusalama mbele ya walimwengu.
Kwa upande wake televisheni rasmi ya Israel, Kan, imesema kuwa uteuzi wa Sinwar kushika nafasi ya Ismail Haniyeh unaonyesha kuwa Hamas bado ina nguvu na ni imara huko Gaza.

Yahya Sinwar aliachiwa huru pamoja na Wapalestina wengine 1,000 mwaka 2011, katika mabadilishano baina ya mateka wa Kipalestina na wanajeshi wa Israel, baada ya kuwa gerezani kwa miaka 22.
Baada ya kutoka gerezani, Sinwar alichaguliwa kuwa mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas wakati wa uchaguzi wa ndani wa harakati hiyo mwaka 2012. Pia alichukua uongozi la tawi la kijeshi la Hamas, Brigedi za Izzuddin al-Qassam na kupewa jukumu la kuratibu kati ya Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo na uongozi tawi lake la kijeshi.