Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
kichwa chake kipo kwenye top list toka oct 7th,eti wanasema a dead man walking!Mwezi wa 10 yupo hapo hapo Gaza anaendesha operation,uwezo wa intelligence ya Israel,tulipigwa pakubwa!Kama waliweza kumuua mkuu wa majeshi Mohammed Deif sembuse huyo Manara wa Gaza?
Kwanza hizi harakati atazifanyia wapi maana anaishi kama digidigi kwenye mashimo Bora Haniyeh alikuwa anazunguka nchi tofauti tofauti kuomba uungwaji mkono