kichwa chake kipo kwenye top list toka oct 7th,eti wanasema a dead man walking!Mwezi wa 10 yupo hapo hapo Gaza anaendesha operation,uwezo wa intelligence ya Israel,tulipigwa pakubwa!Kama waliweza kumuua mkuu wa majeshi Mohammed Deif sembuse huyo Manara wa Gaza?
Kwanza hizi harakati atazifanyia wapi maana anaishi kama digidigi kwenye mashimo Bora Haniyeh alikuwa anazunguka nchi tofauti tofauti kuomba uungwaji mkono
Neno operation hapo umelitumia vibaya.kichwa chake kipo kwenye top list toka oct 7th,eti wanasema a dead man walking!Mwezi wa 10 yupo hapo hapo Gaza anaendesha operation,uwezo wa intelligence ya Israel,tulipigwa pakubwa!
wayahudi walishatoa taarifa kua wamesha muua kamanda SinwarHuyo anafyekelewa Mbele j3 haifiki.
Tuko hapa hapa.
akiuwawa kamanda sinwar gharama zake ujue lazima migambo na sungusungu wa idf 1000 nao wafe. ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.Atauwawa tu.
Wananchi wa Gaza wao ndio wanamtoa jana niikuwa naona wameitoa Video yake akiwa ndani ya Tunnels muda si mrefu tutasikia habari njema.akiuwawa kamanda sinwar gharama zake ujue lazima migambo na sungusungu wa idf 1000 nao wafe. ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
kanda maulumu tarime.