Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

Wanabodi,

Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.

Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.

Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak

Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.

Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.

Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak

John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
President John Magufuli

My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.

Nawatakia Alhamisi Njema

Paskali.
Kwa mwandishi mkubwa kama wanavyokuita, hukustahili kuandika na kukosoa ukweli.

Ivi wewe mayalla, kwanini usipite njia ya mkato kwa kwenda moja kwa moja kwa Rais nakuomba nafasi unayoipigania kuipata serikalini?

Hawa mnaowaita mabeberu kwanini waichukie tanzania tu, mnanini cha kuzidi nchi zingine duniani?
Maendeleo yapo tanzania tu?

Acha ulimbukeni mdogo wangu, hizi imani ni za kitoto za kuamini baba yako ana nguvu za kuweza kupiga kila mwanaume.
 
Huyu jamaa tufike mahali tususue post zake tusiwe tunachangia Kwa sababu anasumbuliwa na vitu viwili
1.uccm(tabia za kishetani)
2.ukabila(ubinafsi Wa kujiona mjuaji)

Swelana.
Vp safari hii atamuangushia tena Erick Kabendera?? Maana naona kama kuna kahoja anataka kukijenga kama kawaida yake.
 
Kwani wanataka taarifa zetu za nini si wafatilie maisha yao sisi nchi huru waache upuuzi wao kenge hao wanaua watu weusi huko kwao af wanataka kutuingilia hadi huku kwetu
 
Swali kwanini waiseme vibaya Tz na why iwe wakati wa utawala huu? ukiona hivyo ujue kuna jambo halipo sawa jambo tunajificha kwenye kivuli cha uzalendo.
 
Very soon mayalla anaingia kwenye ignore list yangu, kashakuwa mp.uu.zi siku hizi. Kweli huwezi kuongea huku unakula na kama ukiongea basi lazima utasifia chakula unachokula.
 
Wanabodi,

Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.

Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.

Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak

Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.

Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.

Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
President John Magufuli

My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.

Nawatakia Alhamisi Njema

Paskali.
Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha.

Pole sana Kabendera huko uliko
 
Hawa ni watu waongo sana eti wanazungumzia mpaka ule utani wa Rc Makonda kuhusu kula bata wao wanasema Rais ndo aliagiza

Mie nadhan ni wakati muafaka kwa Taifa kuwa kitu kimoja kwenye Agenda za Kitaifa kupinga haya mapotoshi

mkuu, ukweli ni upi? huo ukweli umetangazwa na nani?

Kenya iliyopima wananchi wake kwa maelfu na yenye population ndogo kuliko sisi ina maambukizi zaidi ya 1,000 na vifo karibia 50.... huku Tanzania, hakuna taarifa zozote rasmi kwa hiyo tafsiri yake ni kwamba imeruhusu watu waendelee ku speculate.

na tunaojua kidogo hesabu za kujumlisha na kutoa tuta speculate kama ifuatavyo:

tutalinganisha na Z'bar yenye population ya watu 1.5M huku taarifa rasmi zinaonyesha kuwa kuna vifo 16. so, hatutakuwa tumefanya makosa kimahesabu tukisema Tanganyika yenye population around 55M vifo ni zaidi ya 500!

for lack of transparency kwa upande wetu, tumeruhusu hata wasio Watanzania nao wa speculate kivyao (TZ US Embassy, WHO, CNN, BBC, DW, VoA, Aljazeera, nk).

tusimlaumu mtu. hili tumelikoroga wenyewe, tulinywe!

na tumeshuhudia siku za karibuni watu wakizikwa kila mahali chini ya usimamizi wa magari yenye namba za usajiri zinazoanzia SM.

mkuu, tumekwenda shule japo si kubwa sana ujue!
 
Mzee wangu Mayalla umenichekesha sana hapa

27. and won his nickname ‘The Bulldozer’ as a minister, as a populist who likes to fly in the face of convention. Sentence hii hata mimi imenipiga change, hizi lugha za wenzetu, aliyeelewa hapo, msaada afadhali!.
 
Kwa mwandishi mkubwa kama wanavyokuita, hukustahili kuandika na kukosoa ukweli.

Ivi wewe mayalla, kwanini usipite njia ya mkato kwa kwenda moja kwa moja kwa Rais nakuomba nafasi unayoipigania kuipata serikalini?

Hawa mnaowaita mabeberu kwanini waichukie tanzania tu, mnanini cha kuzidi nchi zingine duniani?
Maendeleo yapo tanzania tu?

Acha ulimbukeni mdogo wangu, hizi imani ni za kitoto za kuamini baba yako ana nguvu za kuweza kupiga kila mwanaume.
Hao wanaosema serikali inaficha data za Corona virus. Si wangelitoa zao za ukweli? Alafu usimpangie mtoa mada cha kuandika hii ni haki yake kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 18.
 
Kwa mwandishi mkubwa kama wanavyokuita, hukustahili kuandika na kukosoa ukweli.

Ivi wewe mayalla, kwanini usipite njia ya mkato kwa kwenda moja kwa moja kwa Rais nakuomba nafasi unayoipigania kuipata serikalini?

Hawa mnaowaita mabeberu kwanini waichukie tanzania tu, mnanini cha kuzidi nchi zingine duniani?
Maendeleo yapo tanzania tu?

Acha ulimbukeni mdogo wangu, hizi imani ni za kitoto za kuamini baba yako ana nguvu za kuweza kupiga kila mwanaume.
Ni haki yake ya kikatiba.
 
mkuu, ukweli ni upi? huo ukweli umetangazwa na nani?

Kenya iliyopima wananchi wake kwa maelfu na yenye population ndogo kuliko sisi ina maambukizi zaidi ya 1,000 na vifo karibia 50.... huku Tanzania, hakuna taarifa zozote rasmi kwa hiyo tafsiri yake ni kwamba imeruhusu watu waendelee ku speculate.

na tunaojua kidogo hesabu za kujumlisha na kutoa tuta speculate kama ifuatavyo:

tutalinganisha na Z'bar yenye population ya watu 1.5M huku taarifa rasmi zinaonyesha kuwa kuna vifo 16. so, hatutakuwa tumefanya makosa kimahesabu tukisema Tanganyika yenye population around 55M vifo ni zaidi ya 500!

for lack of transparency kwa upande wetu, tumeruhusu hata wasio Watanzania nao wa speculate kivyao (TZ US Embassy, WHO, CNN, BBC, DW, VoA, Aljazeera, nk).

tusimlaumu mtu. hili tumelikoroga wenyewe, tulinywe!

na tumeshuhudia siku za karibuni watu wakizikwa kila mahali chini ya usimamizi wa magari yenye namba za usajiri zinazoanzia SM.

mkuu, tumekwenda shule japo si kubwa sana ujue!
Lawama zote kwa Mkapa mwaka 1995
 
Wanabodi,

Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.

Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.

Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak

Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.

Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.

Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
President John Magufuli

My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.

Nawatakia Alhamisi Njema

Paskali.
Paschal hebu tumegee mrejesho wa kikao cha Wizara ya Mambo ya nje na Balozi wa Marekani.

Kama Tanzania angejua mwanamke nisingefikiria hata kumchiti, jinsi ninavyo mthamini na kumpenda kwamwingine singeenda...
 
Wanabodi,

Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak

Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.

Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.

My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.

Nawatakia Alhamisi Njema

Paskali.
Mkuu kwa msisitizo wa takwimu nawe ni mwanahabari mbobezi, hebu tupe takwimu zako binafsi tukuamini.
 
Back
Top Bottom