Tetesi: Vyombo vya habari vya kimataifa vyaanza kuwasili Tanzania kuelekea Sep 1(UKUTA)

Kijan hakuna mahakam ya kumfunga magu
 
Hivyo hivyo vipo siku zote na wawakilishi wao ni watanzania, hiyo BBC, DW, CNN na CCTV ni logo tu.
 
Iraq, Libya, Iran huwa wanafikaje hai?
 
Mtayatoboa tu vyote unavyoongea tunayajua
 
Ndio muandamane sasa mfe ili dunia ione, hiyo ndo gharama ya haki mnayoidai.
 
Pole na huyo afisa uhamiaji wako! Wanaenda Mbeya kuna kupatwa kwa mwezi tarehe hizo mwezi wa tisa. Jitahidi kufuatilia vyombo vya habari, usipende kuadithiwa
 
Uzuri hawa hawerembi,hawaogopi mtu wala kujipendekeza ila msije kushangaa wanawakee mashariti jinsi ya kufanya kazi yao au hata kufukuzwa nchini na wakiwafukuza wasahau misaada.

Vipi kesi yenu ya ICC kupinga matokeo ya uchaguzi wa Magufuli imefikia wapi?
 
Reactions: Ame
kwa wapiga dili bwana duh! sasa mmekuwa dhaifu mnategemea wazungu!
 

Mjinga mwenyewe na kwenu, mzungu ni nguruwe tu, hanibabaishi, hakuna analoweza mm nisiweze, peleka mawazo/ fikra hasi kwenyu.
 
Akili nyingine bhana! Wazungu wanaenda hadi Pakistan,Syria,Iran,Iraq kuchukua matukio sembuse Tanzania? Hivi unajua sheria za kimataifa zinazo mlinda mwandishi wa habari au umeamua kujitoa ufahamu?
 
Japo hii ni habari ya kutunga tuu "concoction", lakini ina ujumbe ndani yake! ,wakati wengine wakijitahidi kuepusha shari kwa kuhamasisha kutafutwa suluhu kwa amani, kuna wenzetu wengine wao wana anticipate kutokea kwa fujo na uvunjifu wa amani ili wapate cha kuripoti!.

Kwa bahati nzuri, hakutakuwa na maandamano yoyote, ila nitafuatilia hivi vyombo hivyo vya habari vya kimataifa (CNN, BBC, SBBC, CCTV ALJAZERA, RT) ili kuona kama wataripoti habari za kutokuwepo kwa maandamano hayo kwa sababu honestly I don't see maandalizi yoyote ya maana ya maandamano na mikutano ya hadhara nchi nzima kuhamasisha UKUTA.

No news is good news, ila kwa wenzetu bad news ndio good news! .

Pasco
 
Reactions: Ame
Wanadhani ICC ni danguro kwamba ukiwa na hela yako tu unajitoma ndani kumaliza shida yako
 
Labda wamekuja kutalii tu,
Naomba waorodheshwe kama watalii.
Wali jua hilo hata kipindi cha uchaguzi kuwa kutatokea vurugu
Lakini ikala kwao.
 
Reactions: Ame
Tatizo ni akili za kufuata mkumbo hawa vijana
 
Uchunguzi uliofanywa na mchunguzi wetu unaeleza wazi kuwa vyombo hivyo vya habari vya kimataifa (CNN, BBC, SBBC, CCTV ALJAZERA, RT) vimewasili nchini /QUOTE]

BBC mbona wapo miaka yote na wana wawakilishi wao.Wamewasili toka wapi?
Kwa uongo hujambo.Anyway kama wamekuja kimya kimya watakuwa magaidi yaliyojificha kama waandishi wa habari
 
Hivi unajua sheria za kimataifa zinazo mlinda mwandishi wa habari au umeamua kujitoa ufahamu?

Kwenye vita huwa kuna sheria ya kumlinda mwandishi wa habari? Vita haina macho.Kule vitani waandishi huenda AT THEIR OWN RISK hakuna sheria ya kuwalinda.Mwandishi akiingia eneo la mapambano hakuna wa kuhangaika kumlinda watu wanahangaika na mapambano sio kuhangaika kulinda kikamera cha cha mwandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…