Tetesi: Vyombo vya habari vya kimataifa vyaanza kuwasili Tanzania kuelekea Sep 1(UKUTA)

Ninavyojua eclipse inapotokea waandishi wa habari duniani hufika ili kutoa ripoti tukio hili la ajabu.
Tutashuhudia wageni wengi wakifika nchini sasa kama camera zitaelekezwa chini badala ya angani hili ni suala lingine, lakini wanaokuja wala hawajui zaidi ya mwezi na jua
 
Wanapoteza fedha zao bure kwa sababu hakuna maandamano wala fujo yoyote kutokea
 
UKAWA au CHADEMA ni vyama vya siasa kama ilivyo CCM au TLP. Kila chama kiachwe kifanye shughuli zake za kisiasa kwa amani. Sijawahi kuona UKAWA au CCM wamefanya mikutano au maandamano kukatokea fujo.Nchi yetu ni ya amani, na tuna jeshi la polisi ambalo lina wajibu wa kulinda amani wakati vyama hivi vikifanya shughuli zake ikiwa ni pamoja na maandamano na mikutano. Tufuate na kuheshimu sheria na misingi tuliyojiwekea. Watu wanaoongelea fujo au machafuko, ni waongo, wanajaribu kuwatia hofu watanzania bila sababu za msingi...
 
Ally Jazeera: wenyewe wameongelea kwamba tatizo linaweza kuwa zaidi mgogoro wa Zanzibar

BBC UK : hawa wameongelea kauli ya mbowe Kuwa maandalizi yapo tayari

BBC focus in Africa : wameongelea kuuawa kwa wale police mbande

BBC Swahili : wameongelea kauli ya Kingunge kuwa uwepo usuluishi!

DW: wameingelea kauli ya mwigulu chemba kuwa Tunaye Raisi mmoja tu akiongea lazima wote tufuate!

Sauti ya America : hawa wamenukuu kauli za myika na Lowassa kwamba Ukuta upo pale pale!!

CNN : wameongelea mwendelezo wa kukamatwa kwa wapinzani na wamewaongelea Tundu Lissu na Zitto kabwe!!!

Hawa wote kwa wakati tofauti wanaongelea Ukuta lakini kilochonishutua ni kuona CNN wakionge
mambo ya Tanzania nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majipu!!

Nitoe tu ushauri kama mnafikiri mnapambana na viongozi wa chadema na wananchi wao mnajidanganya!!!

Kiukweli mnapambana na nchi zote ambazo zina democrasia Duniani kama UK,France, USA etc

Hivi mnafikiri Rais wa Tunisia ambaye aliondolewa kwa nguvu ya uma alikuwa Ajachaguliwa na wananchi?

Mnakumbuka sababu iliyomfanya aondolewe Rais wa Tunisia?
Si ilikuwa ni kumsumbua yule kijana machinga Aliyekuwa ameitimu first degree anajifanyia biashara zake mjini lakini police wakawa wanamsumbua kilichofatia ni watu kupatwa na hasira na kuingia barabarani na Rais akaondolewa kwa nguvu ya umma!!!

Sasa hivi tunapambana na wapinzani wakati mnajua kabisa marekani ni Rafiki wa wapinzani karibu duniani kote na mnategemea tena misaada kutoka kwao?

Hiyo misaada yote mnayotegemea kupewa tegeneeni maumivu kama mtasumbua raia wenu !!

Mjue tu tuko uchi wa myama na dunia yote sasa hivi inatumulika na tutakuja kuyajua haya badae!!
 
Akili nyingine bhana! Wazungu wanaenda hadi Pakistan,Syria,Iran,Iraq kuchukua matukio sembuse Tanzania? Hivi unajua sheria za kimataifa zinazo mlinda mwandishi wa habari au umeamua kujitoa ufahamu?
Kwa hio Kitulo National Parks pia kuna UKUTA?
 
Hicho ndicho wanachokifurahia Chadema. Wao watakuwa na hivyo vymbo, watanzania tutasimama na rais wetu.
 
Tunajua cdm ni watekelezaji na wahamasishaji tu wenye miradi wako kwenye nchi ulizozitaja sasa kwa taarifa yenu tutawachapa ili muwarudishie taarifa kuwa tanzania siyo Libya, Tunisia wala Iraq. Na tutawakung'uta kweli ndiyo maana tumesema hakuna mbowe kuondoka mpk sept saba
 
Nilidhani kila raia ana uhuru wa kusafiri wakati wowote. Mbowe lazima awe nje ya Nchi kama lolote likitutokea sisi wafuasi awe muakilishi wetu ICC.
 
Hapo unakosea, kupeleka mwandishi kwenye security alert wakati wanawapeleka mpaka mstari wa mbele vitani? Halafu wewe unadhani hayo mashirika yana weza kuwa na local journalists wakutosha ku cover nchi kama hii? Yaweza kuwa habari hii sio kweli ila pia yawezekana hasa kutokana na kauli ya polisi na wimbi la mazoezi yao ya kivita mitaani. Hilo ndio kosa kubwa walilofanya polisi.
Kwa taarifa yako, tishio la sept 1 sio waandamanaji tena bali wezi, vibaka na majambazi ambao watatumia purukushani hiyo itakayo anzishwa na polisi kuvamia maduka, majumba na maofisi kufanya looting kama tunavyoona nchi zingine. Ndio maana nawasikitikia sana wale wanaosema ACHA WAANDAMANE WAKIONE bila kujua usalama wao majumbani utakuwa haupo kabisa
 
No sense acha vitisho katishe familia yako upuuzi mtupu
 
Mjinga mwenyewe na kwenu, mzungu ni nguruwe tu, hanibabaishi, hakuna analoweza mm nisiweze, peleka mawazo/ fikra hasi kwenyu.

Kama hakubabaishi mbona mnakula vumbi kila siku??na mbona mambo mengi hapa nchi wazungu hao hao ndio wanafanya acha upumbavu wako wewe...leteni vyoko vyoko kama hamjaburuzwa.....hakubabaishi kwanza wanakujua wewe??muulize boss wako anawapa respect sanaa na anawajuwa mziki wao...
 
Amani ya Tanzania ni muhimu kuliko kitu chochote

Kama hakuna HAKI hakuna AMANI. Amani ni Tunda la HAKI

Kutumia nguvu kubwa ya dola kuwanyamazisha wanaowashauri serikali kufuata sheria na katiba ya nchi siyo dawa ama suluhu ya tatizo.

Rais ni mtumishi wa watanzania na ameapa kwa katiba ya Tanzania, hivyo katika kutekeleza majukumu yake ya urais anatakiwa afuate misingi ya katiba
 
Haha hao mapolisi laki mbili wachape watumilioni 45 mumedekezwa nyie kuna raisi sijui wa mali alizabwa vibao na wananchi kwa ujinga kama huu unaofanywa hapa nchini hakuna jeshi linazuia wananchi Mnatunga uongo eti Mbowe akimbiwe wapi ambako hajawa front line Mwanza Arusha Dar Mbeya Mbowe siku zote huwa front line na aliyekuwa katibu mkuu acha ubazazi wewe ukadhani nchi hii ya mama yenu
 
Uzuri hawa hawerembi,hawaogopi mtu wala kujipendekeza ila msije kushangaa wanawakee mashariti jinsi ya kufanya kazi yao au hata kufukuzwa nchini na wakiwafukuza wasahau misaada.
Hili Taifa haliendeshwi kwa misaada tafadhari kuwa na ADABU.
 
Tunakoelekea CHADEMA watakubali masharti ya ndoa za jinsia moja. Maana dah wanazidi kujipendekeza
 
kwanza serikali ya mwingulu na wenzake wanakesi bado ya kujibu na kuwaeleza watanzania kuhusu mauwaji ya askari 4 na 56 kuuwawa.


swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…