Tetesi: Vyombo vya habari vya kimataifa vyaanza kuwasili Tanzania kuelekea Sep 1(UKUTA)

Kwa nini unaweweseka? Ngoja tarehe moja uandamane ili hivyo vyombo vipate habari nzuri za kuripoti.
 
Mhh BBC mbona kwa Tanzania wapo na wanarusha matangazo kutoka hapa,waje kutoka wapi....
 
Mtawachapa kina nani? Kwa makosa yapi? Tanzania na Libya/Tunisia zina tofauti gani au kivuli cha amani kinawapa upofu?
 

Sasa siasa ni hoja, je wapinzani waitolee wapi kama mikutano yote imepigwa marufuku? Mtafutano wooote huu ni kuwa watu wamezuiwa kutoa hoja na wameamriwa kuwa mazezeta hadi 2020.
 
Uzuri hawa hawerembi,hawaogopi mtu wala kujipendekeza ila msije kushangaa wanawakee mashariti jinsi ya kufanya kazi yao au hata kufukuzwa nchini na wakiwafukuza wasahau misaada.
Ni kweli mkuu na hana ubavu huo kabisa.....na akitaka kujua mbivu ni zipi hapo sept yatokee kama ya mwangosi either kwa cnn ama bbc
 
Yaani nyie jamaa kila siku mnaleta ngonjera mpya.

Wao waje tu lakini kipigo kiko pale pale kwa watakaokiuka amri.

Hii nchi haiendeshwi kwa shinikizo la vyombo vya nje tuna taratibu zetu.
 
awapi jidanganye tu na kujitekenya mbowe anafuata katiba inachosema haangalia makunjo ya sura ya mtu kama Rais anaamua kuidhalilisha taasisi ya Urais kwa kuidharau katiba naye ni haki kudharauliwa!
 
It's their agenda. Wameona hawawezi kutuchezea sasa wameamua kuwatumia wanasiasa uchwara wasio na uzalendo kutuvuruga. Baada ya Septemba Mosi utasikia EU wametoa Euro milioni kadhaa kwa CHADEMA kusaidia ukuzaji wa Demokrasia nchini Mtei $ Co wazidi kutajirika. Mijitu imegeuzwa mitaji ya watu wala haijielewi. Mungu Ibariki Tanzania!
 
Kweli Mkuu tunashida kubwa sana.
 
Ni kweki siasa ni hoja. Swali: anayejibu hoja kwa kutumia nguvu ya dola ni nani hapa?
 
Bandiko uchwara. Unadhani journalists wanaojua kazi yao wanagopa security alert? Hebu fungua CNN uone waaandishi wao wanavyoripoti kutoka front line vitani huku mabomu yanarindima.
 
Tunawakaribisha kuona maajabu asilia ya dunia ili wakirudi kwao wawe mabalozi wazuri wa utalii wetu Tanzania.

Vinginevyo watawaona jamaa wachovu wachache wakiandamana chini ya uangalizi mdogo wa polisi kisha viongozi wao wachovu pia wakitokwa povu kuhutubia hoja mfu kwa viumati visivyo na tija!

BTW: WAANGALIZI KUTOKA UN WATAKUWEPO?
 

Watapata aibu wenyewe sisi watanzania hatuna mambo ya kukuza hivyo watashangaa suluhu inapatikana kama kuna kasoro
 
somalia baghdad liberia syria unadhani security yao iko vipi?kila siku unawaona wazungu
 
Hakuna maandamano yoyote hao wamezoea kuchochea fujo angalia walipojazana Tunisia na maswali yao kwa waandamanaji, hapa kwetu no sisi tulifunzwa suluhu Amani iwe nasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…