Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Status
Not open for further replies.
Wacha kujidanganya hapa Tanzania chanjo haiwezi kuepukika na mkubali msukubali lazima itakuja na watu watachanjwa tu,

Hakuna masikini anayeweza kumbishia tajiri tena kwenye jambo la kunusuru maisha ya watu
Nashangaa mpaka leo hujamjua JPM vizuri. Hizo chanjo nakuhakikishia haziletwi bongo maana zinauzwa na Magu hatoi pesa, hata zikiletwa bure zitachomwa Kama zilivyochomwa test kits za Corona pale Temeke hospitali last year. Bado nasisitiza wewe kichwani ni mweupe huna akili.
 
Wacha kuteseka dogo, chanjo italetwa na watanzania watachanjwa tu,hii nchi ni mali ya watanzania siyo ya muhutu kama wewe
 
Wacha kuteseka dogo, chanjo italetwa na watanzania watachanjwa tu,hii nchi ni mali ya watanzania siyo ya muhutu kama wewe
Mlisemaje kuhusu vipimo vya Corona!??.. na kuacha kutoa data za wagonjwa!?, Au umeshasahau mara hii sababu memory yako ndogo!?... Hujui lolote, hiyo chanjo hata Uk, EU na USA na duniani kote sio lazima. Halazimishwi mwananchi yeyote ni hiari yake. Wapo wazungu kibao hawaziamini hizo chanjo na video zipo YouTube. Ila wewe endelea kuamini eti zitaletwa kwa lazima, unafikiri zinatolewa bure?, Nchi ngapi Africa zimenunua?.. nakukumbusha mara nyingine tena HUNA AKILI.
 
Chadema kilikuwa Chama moja makini Sana! Ila Kwa sasa kimebadirika na kuwa watu wa hovyo Sana, watu wasioupenda Uhuru wetu, watu wasiopenda vya kwetu, watu wanaoabudu wathungu na kutukuza vyao

Vijana wa Chadema mnakwama wapi kudharau tiba zetu na kutukuza vya kigeni ambavyo hata hivyo havitibu Wala kuwakinga wazungu wasiambukizwe tena?
 
Nakukumbusha wewe mkimbizi kutoka Burundi, hiyo chanjo italetwa hapa nchini na ndugu zetu wasiyo na uwezo wa kwenda nje kupata hiyo chanjo watapatiwa chanjo na nyinyi kina kibwetere mtaishia kusononeka.
 
Chadema naona hiyo mimba iliyo kupachika lazima ujifungue mapacha
 
Tuliza mshono wako ili kidonda kipone
 
Hivyo vyombo tumieni hapo ufipani. Sisi tulianza na nyungu, na tutaendeleza nyunguu
Wabunge na viongozi wangapi wa CCM wana UKIMWI ikiwemo Ndugai na wanaishi kwa ARVs toka kwao??? Unakataa dawa ya COVID 19 ila ARV sawa???? Kataeni na ARVS Tuone
 
Wewe ndio hujaelewa kwa maana nyingine chanjo inafanya kazi. Kupata chanjo sio kwamba hupati corona ni kwamba utapata corona ila hautaumwa inakuwa kama mafua kawaida tu. Ingekuwa hawa wamepata chanjo halafu wakaumwa hapo ndio tatizo. kwa maana hii chanjo inafanya kazi. sasa kwanini wanajitenga? ni kwa sababu watu wengi hawajapata chanjo anaweza kuwapa corona wakaumwa. kwa hii chanjo iko fine. UK wamesema mpaka mwisho wa mwezi wa 2 watakuwa wamewapa chanjo watu wengi kipimo itakuwa wakiona wagonjwa wanapungua kulazwa ni mafaniko ila sio chanjo kutopata corona.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…