Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.

kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na mazungumzo yao inaonekana wao ni madereva na wanamiliki vyombo vya usafiri

''kiongozi sahivi kuna app (software) inayozuia tochi za traffic yaani hiyo mkuu ukiiwepo nayo kwenye usafiri wako ukiwasha ndinga traffic wakipiga hawawezi kujua kama ulitembea mwndo kasi"

"nitakuunganisha na jamaa anaeiuza hii lakini anafanya siri kweli kweli yaani hii inatusaidia sana madereva tuanopenda kukimbia Road"'

mwisho wa kunukuu na hayo ndiyo yalikua mazungumzo yao maana mimi nilitoka stendi na kudandia gari na kuondoka lakini lilinifikirisha sana hili suala
na kuibuka maswali mengi kichwani mwangu

je jeshi la usalama barabarani wanalijua hili?? na kama hawalijui basi Mzalendo nimefikisha habari hii ifanyiwe uchunguzi wa kina ili kuzuia ajali barabarani

Nawasilisha taarifa
 
Wewe ni MPUMBAVU
 
Mleta mada una kiwango gani Cha elimu. Kichwa chako huwa hakiwezi kuwa na fikira Pana. Kwani unakujua traffic camera inatumika nini mpaka uweze kuihack. Hovyo kabisa. Siyo Kila unachokisikia basi ni Cha kweli
 
soma vizuri kisha uje kuadika utumbo wako huo
 
Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.

kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na mazungumzo yao inaonekana wao ni madereva na wanamiliki vyombo vya usafiri

''kiongozi sahivi kuna app (software) inayozuia tochi za traffic yaani hiyo mkuu ukiiwepo nayo kwenye usafiri wako ukiwasha ndinga traffic wakipiga hawawezi kujua kama ulitembea mwndo kasi"

"nitakuunganisha na jamaa anaeiuza hii lakini anafanya siri kweli kweli yaani hii inatusaidia sana madereva tuanopenda kukimbia Road"'

mwisho wa kunukuu na hayo ndiyo yalikua mazungumzo yao maana mimi nilitoka stendi na kudandia gari na kuondoka lakini lilinifikirisha sana hili suala
na kuibuka maswali mengi kichwani mwangu

je jeshi la usalama barabarani wanalijua hili?? na kama hawalijui basi Mzalendo nimefikisha habari hii ifanyiwe uchunguzi wa kina ili kuzuia ajali barabarani

Nawasilisha taarifa
Hio app inaku alert sehemu zenye speed limit fulani ukizidi inakutaarifu. Haizuii tochi wala nini.
 
Back
Top Bottom